Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala amesema chama hicho ndicho chama kikuu cha siasa nchini kwa sasa, akidai CCM si chama cha siasa bali ni "chama dola" kinachoongozwa kwa nguvu za vyombo vya usalama, jambo ambalo amesema linapingana na masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa pamoja na Ibara ya 20(2) inayokataza vyama vya siasa kutumia nguvu kufanikisha malengo yake.
Soma: Wakili Maduhu: Msajili sio mamlaka ya udhibiti, amejipa mamlaka ambayo siyo ya kwake
Soma: Wakili Maduhu: Msajili sio mamlaka ya udhibiti, amejipa mamlaka ambayo siyo ya kwake