Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt.Rugemeleza Nshala akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 Jijini Dar es Salaam baada ya Mahakama ya rufaa kanda ya Dodoma kutengua maamuzi ya Mahakama Kuu yaliyozuia CHADEMA kufanya shughuli za siasa nchini.
Soma pia News Alert: - Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini
m
Soma pia News Alert: - Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini