Dkt. Nshala: Tume ya Jaji Chande na ya Jaji Lila zote ni batili. Kilichofanywa na Samia ni ukiukwaji wa Katiba

Dkt. Nshala: Tume ya Jaji Chande na ya Jaji Lila zote ni batili. Kilichofanywa na Samia ni ukiukwaji wa Katiba

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA leo Septemba 19, 2026 akitoa maadhimio ya Kamati Kuu ya chama hicho, amesema;

“Tume ya Jaji Chande ilikuwa ni batili na kazi zote zilizofanywa ni matumizi mabaya ya fedha za umma na ilikiuka ibara ya 27(1)(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo hivyo kwa Tume ya Jaji Lila nayo inatokana na pendekezo la Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, basi tume hiyo ni batili kwa kiwango kilekile kwani kitu ambacho kilikua haramu kinaendelea kuwa haramu”-

 
Nshala ni msomi ila hana busara kabisa. Huyu kwenye siasa hafai. Ana mdomo mchafu.
 
Nshala ni msomi ila hana busara kabisa. Huyu kwenye siasa hafai. Ana mdomo mchafu.

Ninyi ndio mnaoharibu siasa kwa sababu mnaamini kuwa mwanasiasa ni lazima uwe mwongo na mwovu. Nshala na wengi wanaoheshimika hii nchi kwa sasa ni wale walio wakweli, siyo majuha watengeneza hadaa.
 
Back
Top Bottom