Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Safi sana. CHADEMA safisha chama. Timua wote wanaoonekana kukubaliana na huyo muuajiMwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala, amedai kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa miongoni mwa waliotajwa kama 'Maafisa Kipenyo' ndani ya CHADEMA, akirejea madai yaliyowahi kuibuliwa kupitia nyaraka zilizodaiwa kuvuja mwaka 2020 kuhusu watu waliodaiwa kupandikizwa ndani ya vyama vya siasa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
Akizungumza katika mahojiano, Dkt. Nshala alisema hawezi kuthibitisha wala kukanusha iwapo bado kuna 'Maafisa Kipenyo' ndani ya CHADEMA kwa sasa, lakini akasisitiza kuwa iwapo wapo, "siku zao zinahesabika," akieleza kuwa chama hicho kitaendelea kukabiliana na changamoto hizo.
Hapana aisee, Mnyika ni purest ndio maana licha ya kupinga ujio wa Lowassa hakuondoka kabisa. Ana mapenzi ya dhati na chadema otherwise angeondoka na Dr Slaa au angekimbilia CCM baada ya kunyimwa ukatibu mkuu ile 2016.John Mnyika
Zamani ilikuwa hivyo. Kwa sasa kizazi kimebadilika na mambo yake pia yamebalika.Kwani Mzee mtei hakua!!?mabere nyaucho marando nae!!?Mbowe mnamuonaje!!?
Fanyeni siasa TU!
Because walioanzisha vyama vyote vya upinzani walikua maafisa vipenyo na walianzisha ili kuisaidia chama kikuu kutawala vyema wanasiasa wote wenye akili timamu wanajua tena wa vyama vyote!!
Ndiyo maana unajiita majina ya vileviCCM ni dude kubwa Sana,Mimi Nina mashaka Sana na hawa watu.
Boniface Jacob (Boniyai)
Godbless Lema
Martin Masese (siyo mwandamizi)
John Mnyika.
Hawa watu ni informers toka CCM
Wapigania chama ni hawa
Peter Msigwa.
Ingawa alihamia CCM Kwa hasira baada ya kuenguliwa na Mbowe lakini moyo upo CDM
John Heche
Yupo wazi haihitaji maelezo mengi.
Tundu Antipas Lissu.
Mandela wa Tanganyika,huyu mishipa ya damu ni CDM
Watu ambao wapo nusunusu dau likiwa kubwa Wanabadilisha upande
Maria Sarungi,
Hilda Newton,
Joseph Mbilinyi (sugu,au real Jongwe)
Unaweza kuwa upo sahihi, mtu kama huyu hajui hata kujificha yupo wazi ni mjinga na wanaomtumia ni wajinga.Yule mchaga wa rombo tuachieni Sisi turuke naye wala haina haja ya kumfukuza uanachama Kwa sasa, hawa akina selasini ni wepesi Sana huyu mjinga ukimfukuza atajiona ana umuhimu Sana ndani ya chama
Mbowe alikua sell out si unaona alimteua hadi Mashinji licha ya kuonekana wazi kabisa hakua chadema.Kama waligundua ana DNA za kimaslahi, kwanini wakaendelea kumvumilia?
Aisee hii ni kweli kabisa.Mbowe alikua sell out si unaona alimteua hadi Mashinji licha ya kuonekana wazi kabisa hakua chadema.