GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Mwalimu wangu huyu.
Kwenye somo la Microbiology.
Hongera kwake.
Kwenye somo la Microbiology.
Hongera kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfufueni basi tuoneItakuwa unamuogopa sana Magufuli kiasi cha kufikia kuhofia anaweza akafufuka.
Haina haja maana pamoja na kufariki kwake ila bado maadui zake wanaendelea kuteseka kisaikolojia na kuendeleza mapambano dhidi yake.Mfufueni basi tuone
Na marafiki mpo mnadhani atafufuka, mulikuwa mnamuita mungu wenuHaina haja maana pamoja na kufariki kwake ila bado maadui zake wanaendelea kuteseka kisaikolojia na kuendeleza mapambano dhidi yake.
Kwani nani ambaye kutwa wanaangaika na Magufuli kama sio maadui zake? Waliyokuwa wanampenda Magufuli wao wamechukulia tu kuwa kazi ya Mungu haina makosa basi limeisha ila maadui wa Jiwe ndio kutwa kumzungumzia Magufuli hata humu JF kuna nyuzi nyingi za maadui wa Magufuli.Na marafiki mpo mnadhani atafufuka, mulikuwa mnamuita mungu wenu
Wewe pimbi kutwa uko hapa unamtetea mungu wako halafu unasema wamechukulia ni kazi ya Mungu. Mbona sasa una hangaika kujibu post za wanaoponda? Si ukae kimyaKwani nani ambaye kutwa wanaangaika na Magufuli kama sio maadui zake? Waliyokuwa wanampenda Magufuli wao wamechukulia tu kuwa kazi ya Mungu haina makosa basi limeisha ila maadui wa Jiwe ndio kutwa kumzungumzia Magufuli hata humu JF kuna nyuzi nyingi za maadui wa Magufuli.
Kama nilivyosema kuwa nyie ndio kutwa kufungua nyuzi humu na kumtaja hata pasipo husiana yani Magufuli anawashughulisha pamoja na kuwa ameshafariki, kama nyie msingekuwa mnamfungulia nyuzi humu basi na sie wengine tusingekuwa tunamjadili sana humu ila nyie ndio mnataka hivyo. Sasa unakuja kama hivyo unasema Magufuli alikuwa "mungu" halafu unataka sie tunyamaze?Wewe pimbi kutwa uko hapa unamtetea mungu wako halafu unasema wamechukulia ni kazi ya Mungu. Mbona sasa una hangaika kujibu post za wanaoponda? Si ukae kimya
Kwa hiyo lazima mumtetee mungu wenu aliyezikwa ChatoKama nilivyosema kuwa nyie ndio kutwa kufungua nyuzi humu na kumtaja hata pasipo husiana yani Magufuli anawashughulisha pamoja na kuwa ameshafariki, kama nyie msingekuwa mnamfungulia nyuzi humu basi na sie wengine tusingekuwa tunamjadili sana humu ila nyie ndio mnataka hivyo. Sasa unakuja kama hivyo unasema Magufuli alikuwa "mungu" halafu unataka sie tunyamaze?
We utaishi milele mwenzetu?,au unatechnologia ya kujifanyia cloning mwenzetu??,zaid mi ninavyojua utakufa tu yawezekana hata kifo kibaya zaidiKwa hiyo lazima mumtetee mungu wenu aliyezikwa Chato
Kufa nitakufa lakini siwezi kuacha watu wakinidai kwa kumwaga damu za ndugu zao.We utaishi milele mwenzetu?,au unatechnologia ya kujifanyia cloning mwenzetu??,zaid mi ninavyojua utakufa tu yawezekana hata kifo kibaya zaidi
Wewe huna dhambi yoyote yana msafi kabisa kama maraika?Kufa nitakufa lakini siwezi kuacha watu wakinidai kwa kumwaga damu za ndugu zao.
YaanPa@khm 1995 unaogopa kukemea UWENDAWAZIMU wa Magufuli kwa vile iko siku na wewe utakufa? Sasa una faida gani kwa jamii?
alwadanganya wajinga wakamshanglaMuwe mnakwenda chato kumsalimia. Atajisikia vibaya
Kwani wewe mungu wako ndio mzee Makamba nini ambaye anaamini wazuri hawafi?Kwa hiyo lazima mumtetee mungu wenu aliyezikwa Chato
Hakuna kitu kinaitwa "maraika" bali kuna "malaika".Wewe huna dhambi yoyote yana msafi kabisa kama maraika?
Kwanini unasoma mada zetu na kuzijibu? Hatupoi tutaendelea kupiga spina tu hadi ahera. Mshenzi yule aliharibu nchi yetuKwani wewe mungu wako ndio mzee Makamba nini ambaye anaamini wazuri hawafi?
Mkuu wewe na wenzako humu ndio mnatuletea mada za kumjadili Magufuli na walengwa wenu ni wapendwa wa Magufuli, kwahiyo ni nyie wenyewe ndio mnataka ajadiliwe Magufuli hamuwezi kumsahau huyo mwamba.
Kufuru hizi mkuu Stuxnet.Subiri mpaka hao minyoo waje wanifanye hicho kitu ndiyo uulize
Sasa msiseme kuwa sisi tunataka afufuke, Magufuli kafa kama walivyokufa wengine hakuna mwenye kutaka wafufuke. Nilitegemea baada ya kufa Magufuli mtaishi kwa amani kumsahau ila hali imekuwa kinyume bado mnaangaika nae tu.Hakuna kitu kinaitwa "maraika" bali kuna "malaika".
Kwa akili hii ndogo uliyo nayo huna uwezo wa kushindana na mimi kwa hoja. Utanipotezea muda
Kwanini unasoma mada zetu na kuzijibu? Hatupoi tutaendelea kupiga spina tu hadi ahera. Mshenzi yule aliharibu nchi yetu
Tuna amani baada ya hilo dubwasha kufariki na kuzikwa ChatoSasa msiseme kuwa sisi tunataka afufuke, Magufuli kafa kama walivyokufa wengine hakuna mwenye kutaka wafufuke. Nilitegemea baada ya kufa Magufuli mtaishi kwa amani kumsahau ila hali imekuwa kinyume bado mnaangaika nae tu.
Mgengua na amani mngekuwa mshamsahau na kuendelea na maisha yenu ya amani, ila huu mwaka wa tatu bado unaangaika na Magufuli kwa kumuelezea kwa maneno mabaya ili tu kuwaudhi wapenzi wa Magufu, hii dalili ya wazi kabisa kuwa jamaa bado anawanyima amani.Tuna amani baada ya hilo dubwasha kufariki na kuzikwa Chato
Hatukomi na hatuachi. na kwa jinsi mnavyokereka ndiyo furaha yetu. Mumelaaniwa mutegemeao marehemu wa ChatoMgengua na amani mngekuwa mshamsahau na kuendelea na maisha yenu ya amani, ila huu mwaka wa tatu bado unaangaika na Magufuli kwa kumuelezea kwa maneno mabaya ili tu kuwaudhi wapenzi wa Magufu, hii dalili ya wazi kabisa kuwa jamaa bado anawanyima amani.
Ilitakiwa iwe ushamsahau ila kama hadi sasa bado ukiona katajwa Magufuli unachafukwa kabisa na kuanza kumshambulia basi bado hujapata amani.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi.
Dk Moremi amerejeshwa ikiwa ni miaka minne, baada ya kuondolewa katika nafasi hiyo na Waziri wa Afya, baada ya Rais wa wakati huo, hayati John Magufuli kutia shaka usahihi wa vipimo vya Maabara ya Taifa vilivyothibitisha kuwapo Uviko-19 katika sampuli za wanyama na mimea.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya, Englibert Kayombo, Dk Moremi ameteuliwa kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa maabara hiyo, Medard Beyanga.
“Kwa kipindi chote Dk Moremi alikuwa Mkuu wa Idara ya Tafiti katika Maabara Kuu ya Taifa,” amesema Kayombo.
Dk Moremi ni miongoni mwa wabobezi katika fani ya maabara na ni mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza.
Pia, soma=> Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?
View attachment 2960667
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19
My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣