Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

Mwalimu wangu huyu.
Kwenye somo la Microbiology.

Hongera kwake.
 
Haina haja maana pamoja na kufariki kwake ila bado maadui zake wanaendelea kuteseka kisaikolojia na kuendeleza mapambano dhidi yake.
Na marafiki mpo mnadhani atafufuka, mulikuwa mnamuita mungu wenu
 
Na marafiki mpo mnadhani atafufuka, mulikuwa mnamuita mungu wenu
Kwani nani ambaye kutwa wanaangaika na Magufuli kama sio maadui zake? Waliyokuwa wanampenda Magufuli wao wamechukulia tu kuwa kazi ya Mungu haina makosa basi limeisha ila maadui wa Jiwe ndio kutwa kumzungumzia Magufuli hata humu JF kuna nyuzi nyingi za maadui wa Magufuli.
 
Wewe pimbi kutwa uko hapa unamtetea mungu wako halafu unasema wamechukulia ni kazi ya Mungu. Mbona sasa una hangaika kujibu post za wanaoponda? Si ukae kimya
 
Wewe pimbi kutwa uko hapa unamtetea mungu wako halafu unasema wamechukulia ni kazi ya Mungu. Mbona sasa una hangaika kujibu post za wanaoponda? Si ukae kimya
Kama nilivyosema kuwa nyie ndio kutwa kufungua nyuzi humu na kumtaja hata pasipo husiana yani Magufuli anawashughulisha pamoja na kuwa ameshafariki, kama nyie msingekuwa mnamfungulia nyuzi humu basi na sie wengine tusingekuwa tunamjadili sana humu ila nyie ndio mnataka hivyo. Sasa unakuja kama hivyo unasema Magufuli alikuwa "mungu" halafu unataka sie tunyamaze?
 
Kwa hiyo lazima mumtetee mungu wenu aliyezikwa Chato
 
We utaishi milele mwenzetu?,au unatechnologia ya kujifanyia cloning mwenzetu??,zaid mi ninavyojua utakufa tu yawezekana hata kifo kibaya zaidi
Kufa nitakufa lakini siwezi kuacha watu wakinidai kwa kumwaga damu za ndugu zao.

Yaani KHM 1995 unaogopa kukemea UWENDAWAZIMU wa Magufuli kwa vile iko siku na wewe utakufa? Sasa una faida gani kwa jamii?
 
Kufa nitakufa lakini siwezi kuacha watu wakinidai kwa kumwaga damu za ndugu zao.

YaanPa@khm 1995 unaogopa kukemea UWENDAWAZIMU wa Magufuli kwa vile iko siku na wewe utakufa? Sasa una faida gani kwa jamii?
Wewe huna dhambi yoyote yana msafi kabisa kama maraika?
 
Kwa hiyo lazima mumtetee mungu wenu aliyezikwa Chato
Kwani wewe mungu wako ndio mzee Makamba nini ambaye anaamini wazuri hawafi?

Mkuu wewe na wenzako humu ndio mnatuletea mada za kumjadili Magufuli na walengwa wenu ni wapendwa wa Magufuli, kwahiyo ni nyie wenyewe ndio mnataka ajadiliwe Magufuli hamuwezi kumsahau huyo mwamba.
 
Wewe huna dhambi yoyote yana msafi kabisa kama maraika?
Hakuna kitu kinaitwa "maraika" bali kuna "malaika".

Kwa akili hii ndogo uliyo nayo huna uwezo wa kushindana na mimi kwa hoja. Utanipotezea muda
Kwanini unasoma mada zetu na kuzijibu? Hatupoi tutaendelea kupiga spina tu hadi ahera. Mshenzi yule aliharibu nchi yetu
 
Sasa msiseme kuwa sisi tunataka afufuke, Magufuli kafa kama walivyokufa wengine hakuna mwenye kutaka wafufuke. Nilitegemea baada ya kufa Magufuli mtaishi kwa amani kumsahau ila hali imekuwa kinyume bado mnaangaika nae tu.
 
Sasa msiseme kuwa sisi tunataka afufuke, Magufuli kafa kama walivyokufa wengine hakuna mwenye kutaka wafufuke. Nilitegemea baada ya kufa Magufuli mtaishi kwa amani kumsahau ila hali imekuwa kinyume bado mnaangaika nae tu.
Tuna amani baada ya hilo dubwasha kufariki na kuzikwa Chato
 
Tuna amani baada ya hilo dubwasha kufariki na kuzikwa Chato
Mgengua na amani mngekuwa mshamsahau na kuendelea na maisha yenu ya amani, ila huu mwaka wa tatu bado unaangaika na Magufuli kwa kumuelezea kwa maneno mabaya ili tu kuwaudhi wapenzi wa Magufu, hii dalili ya wazi kabisa kuwa jamaa bado anawanyima amani.

Ilitakiwa iwe ushamsahau ila kama hadi sasa bado ukiona katajwa Magufuli unachafukwa kabisa na kuanza kumshambulia basi bado hujapata amani.
 
Hatukomi na hatuachi. na kwa jinsi mnavyokereka ndiyo furaha yetu. Mumelaaniwa mutegemeao marehemu wa Chato
 
Aibu tupu hizi.Nchi hii ni kichekesho.Katika hali ya kawaida ya uongozi wa nchi,this is unusual.Mtangulizi wako akishamuondoa mtumishi kazini kwa tuhuma,hata kama hayupo sahihi,huwezi tena kum-reinstate mtumishi huyo,mnapaswa kulindiana heshima.

Hata hivyo kukutwa C-19 Virus kwenye mapapai,Kware,Mafenesi, Mbuzi nk.to me proved that the assertion that C-19 Virus causes disease is wrong and a lie,because if it real does,we should have been sick a long time ago,because the virus is everywhere.

Infact this only proved to us that the so called C-19 disease and the virus which causes it are fake.Kwa hiyo hapakuwa na haja kabisa kum-sack Nyambura kwa kuwa ametusaidia kujua kwamba C-19 disease is indeed fake.Infact tulipaswa kumshukuru,badala ya kum-sack.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…