Dkt Panju ya punjuani wa Efm

Dkt Panju ya punjuani wa Efm

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Huyu jamaa anajitahidi sana kukipendezesha kipindi cha michezo cha hii station Efm radio mwanzo nilifikiri wanarekod kisha wanatupia ktk vipindi vyao ndo mana inakuwa rahisi kuigiza sauti ya kihindi sasa walipoanza kutembelea maeneo mbalimbali jiji dar nkajua dkt panju akiulizwa maswali ya papo kwa papo atachemka lakini ajabu amekuwa vizur had ukimuuliza maswali ya papo kwa papo.

Swali langu ni kwa nini panju asijitokeze mana kila jamaa wanapotembea wanakwambia dkt panju atakuwepo ukija muda wa kutaka kumuona haonekani utasikia kajificha tumtafute dkt panju jitokeze watu wakuone.

Huyu dkt panju ya panjuani ni mhindi kweli?
 
Nasikia ni mmoja wa Watangazaji wa hiko Kipindi na anachofanya ni kuigiza tu hiyo sauti ya Kihindi kutokana na kipaji chake cha usanii.
 
Huyu jamaa si yule aliekua katika kipindi cha Bondeni kweli? Nisaidieni watu wa Dar,mikoani raha kweli hakuna matamko huku
 
Back
Top Bottom