Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World

Ipo kwenye kumbukumbu kuwa wale wasiojulikana wameshaanza zao za kupiga jalamba.

Ni kwa kutumwa au kujitolea, ni kwa niaba au dhidi ya nani, ujumbe uwafikie:

1. Haturudi nyuma
2. Tutasimama na majemedali wetu tukiwa hai au wafu.

Mapema ilionywa. Yaonekana wahusika mmetupia masikio ya kenge:

Raia Samia asikie ya kuambiwa: DP World inatupeleka kubaya

"Sikia maneno ya kuambiwa na wanandekule Moshi eeeh!" 🎵🎶🎼

Hakukosea Muhidini Mwalimu.
 
Kinachopiganiwa sasa naamini ndio kikubwa kwenye historia ya mtanganyika wa leo, tunazitaka bandari zetu zote alizopewa mwarabu milele, lakini pia, tunakitaka kipande cha ardhi ya Tanganyika ambacho mwarabu ameachiwa afanye shughuli zake kwa kujiachia atakavyo.

Hii vita ni sawa na kupigania uhuru wa Tanganyika yetu kwa mara ya pili, ajabu wapo vibaraka wa nkoloni toka Zanzibar walioanza kuwatisha watanganyika kuwaua, hawa ni wajinga wasiojielewa, tunaoigania heshima yetu na vizazi vyetu vijavyo, ikiwemo vizazi vya hao vibaraka, hatutanyamaza kamwe mpaka lengo lifikiwe.
 
Lazima tutafanikiwa
 
Na wasipo kaa vzur hii ishu ya bandar inaweza leta mgawanyiko wa tanganyika na zanzibar

Nawaza.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Na wasipo kaa vzur hii ishu ya bandar inaweza leta mgawanyiko wa tanganyika na zanzibar

Nawaza.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Mama nakushauri ufuate ushairi wa JJ Mnyika jitokeze hadharani hutubia taifa na kufafania vifungu vyenye utata kwenye mkataba vinginevyo kama hiyo haiwezekani jirudi na kuwaeleza Waarabu umekosea mkataba ufutwe tuanze upya.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
After five yrs nitakuwa rasmi BAZECHA.
 
N
Nshalla ni msanii. Anatukana mamlaka kisha anajishtukia. Akae kwa kutulia.
 
Nahisi nawe huwa kuna upepo unakuchukua, kama baadhi ya wengine walioamua kuongozwa na hisia badala ya facts.
Kwenye hili sakata la Bandari nimekuwa wazi kabisa kuwa naunga mkono uwekezaji kwenye Bandari na kama ni vipengele vya mkataba virekebishwe.
 
Ilitakiwa uwe umeshalambishwa udongo kabisa.
 


Haya mliyotufanyia mbona hatujakusikia ??


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…