Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World

They want to kill him scientifically while kissing him, a purpose is to silence other messengers.
 
Huyu amevurugwa tu. Sifa moja juu ya msomi ni kudhibiti hasira zako. Kama vipi aende kwao Burundi
 
Hivi mama samia alikuwa na akili timamu wakati anasaini hii laana(mkataba)?alishikiwa bunduki?nini kiko nyuma ya huu mkataba ambapo SSH haoni mapungufu makubwa?ninapata ukakasi mama samia na Magufuli walikuwa ni hasi na chanya Kwa maslahi ya Tanzania.kama kweli haoni tatizo kwenye hii tuhuma..basi yahitajika kujitafakari.
Laana lazima ipite na uzao SSH

Hii inaonesha mwanamke hawezi madaraka makubwa.
 
Ninaimani mama Samia anaufuatilia huu uzi
 
Kuna swali huwa najiulize sana I wish ningepata majibu, kwanini watu weusi huwa hatujipendi? Hatuangalii vizazi vyetu vijavyo? tunaishi kama sisi ndio watu wa mwisho kuwepo?
Hususani wengi wetu sisi watanganyika.sijui nani katuharibu ufahamu na kutupofusha macho jamani🥹🥹🥹🥹🥹
 
Hii ndiyo legacy ya Magufuli. Huyo Mwamakula anajipendekeza kwa rais. Kwani rais hawezi kuua iwapo alishafanya hivyo kwa wengi waliopotea akiwa makamu wa rais?
 
Huu ni ujinga mkubwa nani anaweza kumtishia maisha huyu jamaa. Watu wanajaribu kutafuta umaarufu kwa nguvu kubwa sana.
 
Acheni kauli za kibaguzi!
DP World ni wawekezaji. Kuwaita waarabu ni kauli za ubaguzi.

Acheni pia upotoshaji. Hakuna bandari iliyouzwa,itakayouzwa wala ardhi aliyopewa muwekezaji.
Dp wameingia mkataba wa miaka mingapi na Tanzania?naomba jibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…