Dkt. Salim Ahmed Salim atimiza umri wa miaka 80. Mungu mpe maisha marefu

Dkt. Salim Ahmed Salim atimiza umri wa miaka 80. Mungu mpe maisha marefu

Yesu Kristu alifariki na miaka 33. Martin Luther King Jr. alifariki na miaka 39, Malcom X alifariki na miaka 39. Rais John F. Kennedy alifariki na miaka 46. Mtume Mohammad S.A.W. alifariki na miaka 61-62. Bila shaka hawa wote walikuwa na visokorokwinyo!!!
Yesu iliandikwa , hao wengine sijui
 
Hawa ndio watu ambao wakifa miwili Yao ikitembezwa na kuzungushwa nchi nzima sawa tu.

Lkn eti linakufa jitu liuaji libambikiaji kesi, litekaji mnatusumbua barabarani.

Mtu kama Maalim amekufa watu wanaenda kufanya hija alipozikwa huyo ndio muungwana mzalendo na mcha Mungu.

Mlitusumbua sana na aliyefia pale vichochoroni makumbusho/ Mzena
Hakika !
 
Na Mimi nasema utakufa tu, ndio utakufa, maana hakuna namna, haiwezekani uwe na roho mbaya na Bado uishi
naye ana roho mbaya , kamfunga kamkomesha, mawazo yamepishana mhimili umeng' olewa
Na Mimi nasema utakufa tu, ndio utakufa, maana hakuna namna, haiwezekani uwe na roho mbaya na Bado uishi
Naye hivyo vyo kaanza mapemamapema, kamwogopa kapika kesi "murder was the case that she gave him" .mwingine katoa maoni ake kamsemasema weee mtoto watu, hadi nyani katema bungo, bibi sultani acheni
 
View attachment 2092782

Leo tarehe 23/01 /2022 Mzee Salim Ahmed Salim anatajwa kutimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake, hii ni baraka kubwa kwake na kwa familia yake.

Sisi wengine tunamtakia heri ya siku hii mzee wetu huyu ambaye ni miongoni mwa Watanzania wachache WALIOILETEA HESHIMA NCHI YETU.

FUNZO: UKIWA NA ROHO NYEUPE UTAISHI MAISHA MAREFU , BALI UKIWA NA ROHO MBAYA , UKATILI , WIVU NA KISOKOLOKWINYO UTAKUFA MAPEMA TU
Kama Magufuli?
 
Murder She
naye ana roho mbaya , kamfunga kamkomesha, mawazo yamepishana mhimili umeng' olewa

Naye hivyo vyo kaanza mapemamapema, kamwogopa kapika kesi "murder was the case that she gave him" .mwingine katoa maoni ake kamsemasema weee mtoto watu, hadi nyani katema bungo, bibi sultani acheni
Wrote

Now dis one dedicated to the girls dem
Wid di angel face and the devil heart
Yuh no say ragamuffin Chaka Demus an' youth
Called Pliers come to deal with case
Step up my youth, hear dis!
I know this little girl, her name is Maxine
Her beauty is like a bunch of rose
If I ever tell you 'bout Maxine
Yuh would a say I don't know what I know but
Murder she wrote (fi real, fi real)
Murder she wrote
Murder she wrote
Murder she wrote
Watch ya now, it name
A pretty face and bad character
Dem the kinda livin' can't hold Chaka, follow me!
A pretty face and bad character
Dem the kinda livin' can't hold Chaka
 
View attachment 2092782

Leo tarehe 23/01 /2022 Mzee Salim Ahmed Salim anatajwa kutimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake, hii ni baraka kubwa kwake na kwa familia yake.

Sisi wengine tunamtakia heri ya siku hii mzee wetu huyu ambaye ni miongoni mwa Watanzania wachache WALIOILETEA HESHIMA NCHI YETU.

FUNZO: UKIWA NA ROHO NYEUPE UTAISHI MAISHA MAREFU , BALI UKIWA NA ROHO MBAYA , UKATILI , WIVU NA KISOKOLOKWINYO UTAKUFA MAPEMA TU
Pamoja na yote Dr. Salim akiwa NI mwanadiplomasia nguli hakufanya chochote kusaidia harakati za kuikomboa ZANZIBAR maumivu ya Wazanzibar kutekwa na kuuwawa pamoja na KUNAJISIWA DEMOKRASIA HADHARANI hakuwahipo kusema chochote alipendezwa na UWANA CCM wake hata kuliko visiwa alivyozaliwa cna uhakika kama hata aliewahi kujenga Pemba au hata Unguja
 
tangu kuingia kwa mitandao ya kijamii, hii ni mara yangu ya kwanza nashuhudia mtanzania akitumiwa salamu za birthday kutokwa kwa tu prominent wa level za kidunia.

mtanzania huyu sio mwingine, ni mwanadiplomasia nguli dkt salim ahmed salim. wale waliopo twitter nadhani wameshuhudia hili.

happy birthday mzee salim.
 
Yesu Kristu alifariki na miaka 33.

Martin Luther King Jr. alifariki na miaka 39, Malcom X alifariki na miaka 39.

Rais John F. Kennedy alifariki na miaka 46.

Mtume Mohammad S.A.W. alifariki na miaka 61-62.

Bila shaka hawa wote walikuwa na visokorokwinyo!!!
Hana cha kujibu
 
Wewe jamaa ndo representative wa low minded people.

Unashindwa kujibu hoja unaleta ushabiki na vioja.

What an embicile,!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huwa sihangaiki na ubishi usio na Tija , nimeuliza hao mliowaweka hapo walikufa kwa Corona ? halafu wala sikutaja jina la mtu wenu mwenye visokolokwinyo , kilichowatoa kwenye mapango ni kipi ?
 
tangu kuingia kwa mitandao ya kijamii, hii ni mara yangu ya kwanza nashuhudia mtanzania akitumiwa salamu za birthday kutokwa kwa tu prominent wa level za kidunia.

mtanzania huyu sio mwingine, ni mwanadiplomasia nguli dkt salim ahmed salim. wale waliopo twitter nadhani wameshuhudia hili.

happy birthday mzee salim.
Kweli mkuu ,nami najiuliza kwanini ? Twitter kumechafuka wishes
 
Back
Top Bottom