Dkt. Salim Ahmed Salim atimiza umri wa miaka 80. Mungu mpe maisha marefu

... Jesus mwondoe kwenye hiyo list tafadhali. Kufa kwake ni kwa sababu alikuwa amekamilisha kazi iliyomleta duniani, and in fact kifo chake ni sehemu ya ukamilifu wa kazi ile adhimu. Hakuna mwanadamu mwingine yeyote wa sifa hizo.
 
Yeye ni kama wazee wengine tu, HBD kwa wazee wote mliotimiza miaka 80 leo hii kwa mchango wenu chanya katika ujenzi wa taifa hili.
 
Akiangalia hiyo picha juu ya keki yake alivyokua kijana mwenye nguvu ss hv yupo kwnye wheel chair daaah πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
 
Huyu ndiye aliyeambiwa 'mtoto wa nyoka ni nyoka' na wenye uroho wa madaraka.
 
Happy birthday world class diplomat and statesman Dr Salim Ahmed Salim. A brilliant person, true pan africanist, patriot and loyal to his country. May the Almighty keep his eyes on you and the well being of your health. I am glad I was lucky to have shaken hands with you in 90s when you were The Secretary General of the then Organisation of African unity. Remain blessed and again happy birthday Sir. You made history for Tanzania and Africa as a whole.
 
He is so frail and unrecognizable. Binadamu kweli tumeumbwa tofauti. Mzee Ruksa ana karibia bati lakini ukimuona.

Happy birthday!
 
... Jesus mwondoe kwenye hiyo list tafadhali. Kufa kwake ni kwa sababu alikuwa amekamilisha kazi iliyomleta duniani, and in fact kifo chake ni sehemu ya ukamilifu wa kazi ile adhimu. Hakuna mwanadamu mwingine yeyote wa sifa hizo.
Uzi unazungumzia umri na sio mission.
 
Contradictions !! Mbona wengine wanasema watu wema hawaishi sana !! Salaalee ! Kila mtu aamini kivyake vyake !!
 
Miaka 80 yupo kwenye wheel chair? Anaumwa nini? Hana afya nzuri, pole yake.
 
Miaka 80 yupo kwenye wheel chair? Anaumwa nini? Hana afya nzuri, pole yake.
Nafikiri ujana unatengeza foundation ya uzeeni.. Nimejaribu muangalia mzee mwinyi na huyu. Nafikri ujana wao ulikuwa tofauti
 
Dr Salim aliwauzi sana Wamarekani alivyoshangilia China kupigiwa kura UN mwaka 1971 mpaka Ronald Reagan akawakashifu Waafrika


Your browser is not able to display this video.
 
Jabali Jasusi la Kimataifa lenye Tija lililo tikisa Africa na Dunia

Hili liliandaliwa na Julius kuongoza Dunia na kuiweka Africa frontline katika uso wa Dunia

Long life....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…