Dkt. Samia: Kinachotokea bandarini nitakisomea Ikulu

Kila nikirudia kusoma alichozungumza hata sielewi, sijui amezungumza nini hasa?!

Kinachotokea bandarini wakati huu kisubiri miezi sita ndio akizungumzie ikulu? hivi huyu kiumbe yupo sawa upstairs kweli!.
 
Issue ni kusoma ua kuchukua maamuzi stahiki pale unaposoma cha kusomwa ?

Sababu mapungufu makubwa sio tu ukosefu wa data bali kuzifanyia kazi hizo data
 
Mimi naona akiondoka huyu mama atakuja mtu wa kubagua kundi fulani la watu ambao wapo kisheria, mfano yule Dikteta uchwara alitubagua sana Watumishi wa Umma kwa kuondoa maslahi yetu.
Kilichoandikwa na ulichoachangia wewe, ni sawa na mbingu na aridhi, havihusiani kabisa
 
 
Kwa lugha nyingine ni kuwa kesho Bunge la Rubber stamp linamaliza kazi waliyotumwa na Mwenyekiti wa Chinja-Chinja-Mtanzania (CCM).
Hiyo mifumo ya yeye kuona mambo ya Bandari Ikulu inatoka DP World!
 
Samia had 2039
 
Haa kama kwenye karatsi ya kuteua tu anashindwa kusoma itakuwa ni hiyo
 
Naona kweli Maza kadhamiria. IJE MVUA, LIJE JUA ..... DP World lazima wachukue Bandari zetu!!

No Wonder wajuaji wanadai hiyo ndiyo sababu ya Mabadiliko ya Sheria ya UWT imetangulizwa kwanza....!!
 
Tukipata kama bwana yule?
Yaani mtu kama yule kichaa wa Chato bora tubaki na huyu kiongozi wa sasa.
Musimtaje sana mujue anaweza akafufuka watumishi tukakalia tena joto la jiwe.
 
Ni kweli huu ni uthibitisho kwa kuhitaj uchaguz ufanyike mwingine
 
Mama, Utapigwa udukuzi wa Karne kuna majuto juu ya hili. Na kama ni TEHAMA ya nia njema, basi in other six months after this Tuanze mchakato wa kupiga kura kielektronic ili nia Yako hii njema kwa Taifa idhihirike uchaguzi Mkuu 2025.
 
Mimi naona akiondoka huyu mama atakuja mtu wa kubagua kundi fulani la watu ambao wapo kisheria, mfano yule Dikteta uchwara alitubagua sana Watumishi wa Umma kwa kuondoa maslahi yetu.
Tukipata kama bwana yule?
Yaani mtu kama yule kichaa wa Chato bora tubaki na huyu kiongozi wa sasa.
Huyu hapa mmoja dizain ile pendwa ya "kamlete",kichwani shule hamna ila alishikwa mkono leo yupo serikalini.
Nawaza huyo aliyeku-interviw mpaka ukaaminiwa hapo office ya umma alitumia vigezo gani?hapo ulipo upo kwa sheria gani zaidi mnakaa mnawaza namna ya kuiba?
 
Sawa info atakazozisoma akiwa ikulu zitatoka DP world? Au ataletewa na makame tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…