GE2025 Dkt Samia: Nawaomba Wanambeya twende tukapigie kura Chama cha Mapinduzi

GE2025 Dkt Samia: Nawaomba Wanambeya twende tukapigie kura Chama cha Mapinduzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA ​

DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI

Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tiketi ya Urais ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbalizi, Mbeya

Kwenye Video ni shangwe la Wananchi hao wakimsapoti mgombea huyo Dkt.samia huku akisikika akisema

"Mbeya imekua kibiashara, miundombinu imejengwa vijana wengi wanahitaji kujiajiri mimi kama muhusika niombe kura kwa heshima nawaomba tarehe 29 mwezi wa 10 twende tukapigie kura chama cha Mapinduzi " Dkt.Samia

Aidha Huu ni muendelezo wa kampeni za CCM Zilizokatwa utepe Kuanzia kawe Jijini Dar es Salaam na mikoa anayotazamiwa kupitia mgombea huyo atanadi sera zake kwa mwamvuli wa chama na Serikali yake iliyopita huku akitaja mazuri anayopaswa kuendeleza alipoishia
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2025-09-05 at 10.08.09.mp4
    32.7 MB
Ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura kwenye igizo hili kwani INEC ikishirikiana na CCM wameshapika matokeo yatakayoipa CCM ushindi wa 99%.
 

TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA ​

DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI

Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tiketi ya Urais ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbalizi, Mbeya

Kwenye Video ni shangwe la Wananchi hao wakimsapoti mgombea huyo Dkt.samia huku akisikika akisema

"Mbeya imekua kibiashara, miundombinu imejengwa vijana wengi wanahitaji kujiajiri mimi kama muhusika niombe kura kwa heshima nawaomba tarehe 29 mwezi wa 10 twende tukapigie kura chama cha Mapinduzi " Dkt.SamiaWana

Aidha Huu ni muendelezo wa kampeni za CCM Zilizokatwa utepe Kuanzia kawe Jijini Dar es Salaam na mikoa anayotazamiwa kupitia mgombea huyo atanadi sera zake kwa mwamvuli wa chama na Serikali yake iliyopita huku akitaja mazuri anayopaswa kuendeleza alipoishia
Wana Mbeya sio mataahira, ni mataahira TU watakaoenda kupiga kura
 
Hata tusipopiga kura, mfumo umeshatik...asitulaghai!.
 
Back
Top Bottom