DKT. SAMIZI ASHIRIKI VYEMA ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA, ASHIRIKI UPANDAJI WA MICHIKICHI.
Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi ameshiriki vyema ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anayoifanya mkoani Kigoma iliyoanza Septemba 16, 2021.
Katika ziara hiyo ya Waziri Mkuu, Jana Ijumaa Septemba 17, 2021 Mhe Samizi katika Jimbo la Buhigwe alishiriki zoezi la upandaji wa zao la mchikichi ambalo ni moja ya zao la kimkakati mkoani Kigoma mahususi kukabiliana na uhaba wa mafuta.
#KaziInaendelea.
View attachment 1943030
View attachment 1943031
View attachment 1943032
View attachment 1943033