Hapa kwenye maji nakubaliana nae kwa asilimia zote,kwani maji yalitumika kwa tiba hasa kwa kitume na Mola wetu akasema ya kuwa na akajalia kutokana na maji kile kitu kikawa hai.Anashauri mfungo wa maji, “water fasting”. Yeye anasema alifunga kwa miezi mitatu akinywa maji tu, akapona mazima.
Naendelea kusoma mada....