Hapa kwenye maji nakubaliana nae kwa asilimia zote,kwani maji yalitumika kwa tiba hasa kwa kitume na Mola wetu akasema ya kuwa na akajalia kutokana na maji kile kitu kikawa hai.Anashauri mfungo wa maji, “water fasting”. Yeye anasema alifunga kwa miezi mitatu akinywa maji tu, akapona mazima.
Kuna kampuni moja USA wanauza Seamos toka Zanzibar very expensive ukitaka nunua hapa tz hawakuuzii mpaka u import toka US. So sad ilihali zanzibar yapo bwerere.Kuna mtu ananiambia kupitia taasisi yetu ya NIMR wamepewa masharti magumu tena kutokea WHO endapo wakitaka kufanya utafiti kuhusu hizi tiba mbadala. Mie kibinafsi nnaziamini sana tatzo lipo kwenye kuzipata zile zenye uhalisia, enzi zetu zile za wamasai zilikua zikisaidia sana lkn skuiz zimechakachuliwa.
Kuna dokta mmoja nlimuona wakat walipotoka Madagascar juzi kuleta chupa moja ya dawa aliongea vizuri sana kuhusu Tiba mbadala na alionekana mjuvi sana wa tiba asilia. Tatzo lipo kwetu wenyewe kwa NIMR na wapigaji binafsi.
Viongozi ndio wanastahili lawama hizi kama tunavyoona kwenye uviko19Waafrika wenyewe hatujiamini. So sad kuna watu wamekuwa brainwashed anawaona Wazungu watu wa maana hadi kuwatetea watuibie raslimali.
Mimi ni mdau wa limao kishenzi yani.Limao au ndimu ndo mchawi wa magonjwa yote.
Thus wanakuhadaa eti linakausha mwili hii ni janja tu ya viwanda vya madawa.
Kweli kabisa, wameishi kwa vitisho sanaHakuacha Kwa sababu waliomuua walihakikisha hata familia wanaiogopesha