Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Chama Cha Mapinduzi - Chama TawalaGreenish
Mkuu inashangaza, anamuota vipi?Sheni huyu anayemuota ndotoni Maalim Sefu!
Utaratibu wa Chama Cha Mapinduzi kukutana.Kuna nini huko Unguja?
Masuala ya ndani hayo.Wakimaliza kikao wataleta MREJESHO Dodoma au .....
Anajua bila chenga kuwa alikuwa madarakani bila ridhaa ya wananchi! Roho inamsuta sana na hata anaposwali msikitini ni kwa sababu hana namna ya kutubu hadharani!Mkuu inashangaza, anamuota vipi?
Uchaguzi wa Zanzibar 2015 ulifutwa kutokana na kasoro mbalimbali na ukatangazwa uchaguzi wa marudio ambao Dkt. Shein alishinda.Anajua bila chenga kuwa alikuwa madarakani bila ridhaa ya wananchi! Roho inamsuta sana na hata anaposwali msikitini ni kwa sababu hana namna ya kutubu hadharani!
Hadithi hiyo kawasimulie mataga wenzako!Uchaguzi wa Zanzibar 2015 ulifutwa kutokana na kasoro mbalimbali na ukatangazwa uchaguzi wa marudio ambao Dkt. Shein alishinda.
Hata uchaguzi wa awali Dkt. Shein alikuwa anaongoza.
Ukweli ni huo Dkt. Shein alishinda, Taifa linajua hilo na mamlaka husika zilitangaza.Hadithi hiyo kawasimulie mataga wenzako!