Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Jun 18, 2024 #241 Triple G said: familia inahitaji kujikwamua na hiyo spirit of death inayowaandama..maombi yanahitajika Click to expand... Tayari imeshakuwa fursa ya kupiga pesa kwa kumpiga vita roho wa mauti? Waja mna mambo mengi sana. Sasa nani asiyekufa?
Triple G said: familia inahitaji kujikwamua na hiyo spirit of death inayowaandama..maombi yanahitajika Click to expand... Tayari imeshakuwa fursa ya kupiga pesa kwa kumpiga vita roho wa mauti? Waja mna mambo mengi sana. Sasa nani asiyekufa?
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Jun 18, 2024 #242 Victoire said: Alikuwa bado anazaa tu .Too risk kuzaa at 40+. Click to expand... Jamani...kuna wakati starehe ikizidi, mambo mengine yoteyanasahaulika. Kuzaa sio tatizo. Wanawake wa siku hizi ndio wanachukulia kubeba mimba ni kama ugonjwa. Wale wa kijinini wanatwanga tu. Mama zetu nao walizaa bila shida
Victoire said: Alikuwa bado anazaa tu .Too risk kuzaa at 40+. Click to expand... Jamani...kuna wakati starehe ikizidi, mambo mengine yoteyanasahaulika. Kuzaa sio tatizo. Wanawake wa siku hizi ndio wanachukulia kubeba mimba ni kama ugonjwa. Wale wa kijinini wanatwanga tu. Mama zetu nao walizaa bila shida
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Jun 20, 2024 #243 Mwenye picha nyumbani kwenye msiba tafadhali
Triple G JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 3,018 Reaction score 4,369 Jun 23, 2024 #244 Tangawizi said: Tayari imeshakuwa fursa ya kupiga pesa kwa kumpiga vita roho wa mauti? Waja mna mambo mengi sana. Sasa nani asiyekufa? Click to expand... Hakuna mtu aliyezungumzia pesa! Una upeo mdogo.
Tangawizi said: Tayari imeshakuwa fursa ya kupiga pesa kwa kumpiga vita roho wa mauti? Waja mna mambo mengi sana. Sasa nani asiyekufa? Click to expand... Hakuna mtu aliyezungumzia pesa! Una upeo mdogo.
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Jun 24, 2024 #245 Triple G said: Hakuna mtu aliyezungumzia pesa! Una upeo mdogo. Click to expand... Kuandika hizi comment JF ndio kuwa na upeo mkubwa? Unachekesha arifu. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Triple G said: Hakuna mtu aliyezungumzia pesa! Una upeo mdogo. Click to expand... Kuandika hizi comment JF ndio kuwa na upeo mkubwa? Unachekesha arifu. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣