TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

Ilikuwaje mtu ambaye ni professor,mkewe alikuwa anajifungua kipindi hiki, Umri wa Prof ni miaka mingapi au ni ndoa ya ngapi hiyo!

Wafiwa poleni kwa msiba mkubwa.
 
Hii kitu ya wadada wazuri kujifingua na kupotea,imezidi sana,last week ilimchukua dada mzuri sana Jiji la Tanga,idara ya Sheria.

Ummy Mwalimu, anzisha utafiti kujua tatizo ni nini, vinginevyo tunapoteza visura wetu kila siku.
Huyo dada wa tanga msiba ulinikuta huku nipo lushoto huku mara moja...very sad.
 
Alisoma Kilakala...then UDSM, Eletrical Engineering. Baadae mambo ya utalii. Alikuwa mpole na hakuwa na makuu hata kidogo. Kifo kuna wakati kinatupata maswali magumu kweli kweli, na lazima tyuyajibu with flying colours. Mbele yetu na sisi wengine tuko kwenye foleni

Rest In Eternal Peace Dr. Shogo
Alikua kichwa huyu
 
RIP Shogo. Aka Twiga. Aka engineer aliyeasi.

Kifo kina ukatili sana. Ulikuwa dada mwema. Mwenye malengo yake. Ulikuwa dada unajielewa. Wengi humu watakuhukumu na kuhusisha mafanikio yako na surname yako. Ukweli ni kwamba ulikuwa dada msomi. Mpenda kujituma na mengineyo. Yes inawezekana nyayo za wazazi zili influence maisha yako hasa ya kisiasa. Lakini haikuondolei ukweli kwamba Ulikuwa dada mpambanaji. You were a true gain to any human soul you encountered.

Ulikuwa very kind kwa wale waliobahatika kukutana na wewe au kuwa karibu yako. Personally, I will miss that big smile of yours…Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yako pema peponi Shogo.

Tangu enzi za FoE, Ubungo, Finland, Larger Europe...you will be dearly missed. Nakumbuka your first trip to Helsinki when you were doing your PhD, in 🇨🇳. Nakumbuka tulivyobishana while sharing a drink in one of the streets in Europe……...nikikuchallenge kwa nini hukwenda kufanya PhD Europe. Ukinitania kwa nguvu zoteee….🤲🏻

You were a true human and your soul will live with us forever.

Nakumbuka ukinipa story of your young brother Nsolo you loved so much.. ( whom I have never had a chance to meet)….nakumbuka how you were so excited alivopata kazi NMB. May he keep shining and lighting up the world as you always.

Shogo, we shared a lot. Your memories and moments will forever be with me, and others you touched.

Namuombea mume wako mpenzi , watoto wako uliowaacha hapa duniani, wazazi na ndugu waweze kuhimili hili pigo, ambalo kiukweli halimithiriki. Hakika ni Mungu pekee ndo ataweza kuwafariji.

Kama tulivyoingia duniani kwa zamu, basi wote tunasubiri zamu zetu kuondoka.

Go well dearest Shogo! Forever in our hearts.
Huu ujumbe umeniumiza na kunisikitisha sana. Pole bro, kifo ni ukatili mbaya sana kwa kiumbe chochote kile.
 
Back
Top Bottom