TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

Marehemu Shogo hata aliwahi kuwa kocha wa Basket ball nakumbuka alikuwa anacheza sana Basketball pale uwanja wa Basketball 🏀 SUA main campus.
 
Ni ndugu na Queen mlozi wa ccm?
Possibly maana Chief Nsolo kijana wa Queen Mlozi anaelekea kuzika Hanang... jambo moja tu ambalo bado linanichanganya kwa nini ameeitwa Sedoyeka, kwamba aliolewa na kijana wa Sedoyeka au Baba yake ni Sedoyeka yule alikuwa DC morogoro nyakati hizo.... mhh ya watu tuwaachie watu!!
 
Yes mume wake ni Prof.Sedoyeka ambaye baba yake alikua mkuu wa wilaya
 
Sijawahi kumsikia masikini ya Mungu. Sijui alikuwa anasimamia masuala gani huko EAC. Nataka kusema tutamkumbuka, lakini sijui kwa lipi. I mean, Mdude Mwaluka Nyagali, ambae halipwi, is a bigger household name.
 
Back
Top Bottom