TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

alikua mwalimu wangu huyu open enzi hizo nakomaa nashule kipindi hicho sijajua kama elimu ya bongo ni pyramid scheme ,
Alikua mtu poa sana kama humjui ni lazima umchukulie poa maana alikua ni mdada mdogo sana ila na PhD na ni head of department halafu yupo simple tu tena ni easy going.
Our first encounter nilienda kufatilia research yangu department nikakutana mdada mrembo akanikaribisha nikamwambo mambo vp naomba kumuona Dr Fauzia nikiamin huyo dada ni secretary wa Dr fauzia nisijue kwamba Dr fauzia kahamishwa department na uyo dada ninayeongea nae ndio top manyota akiniuliza shida yako nini nikamwambia akaniuliza jina nikamwambia akachek mezan kwake kumbe nimefika pale alikua live na proposal yangu akaniambia kabadilishe research title halafu uje, nilimaindi mno ila sikumuonyesha nilitoa tabasamu la kishamba nikaondoka nikaenda kuambia wahuni wangu kuna kamanzi kanazingua balaa kamenibadlishia title na nilikua hatua za mwisho kabisa niingie field wadau wakaniamnia sio kamanzi kale yule Dr (phD) na ndio HOD wetu nikawa na adabu pia nikashukuru sikuonyesha uswahili , nilichelewa kupeleka marekebisho akanitumia email ikiwa title mbalimbali nichague moja halaf nimpelekee nilivyopeleka ndio akanisanua kwamba title yangu ingenitesa mno nisingepata data za kutosha na muda haukua upande wangu nilishangazwa sana level ya utu aliokuanayo mdada yule
hivi ndivyo nitakavyomkumbuka Dr Shogo Mulozi RIP
 
RIP
 
👏👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…