Dkt. Slaa adokeza kuwa amepata habari Deus Soka atauawa leo na kutupwa kwenye msitu

Hakuna watu wenye roho katili na mbaya kama wtz...
Ila huu ukatili wao wanaofanya unazidi kuwalisha sumu watu
Watazidi kuwa sugu

Ova
Swali fikirishi je watu wataendelea kunyamaza kwa muda gani, je
madhara ya kunyamaza tunayajua, (silent society), silence surrenders public responsibility, (,bora liende)
 
Duh...!.
P
 
Kwa sababu nchi imejaa watu wasio hai kama ilivyo semwa na kiongozi mmoja nchi jirani basi wamekaa tu bila kuchukua hatua yoyote.

Dr. Slaa hakutaka kufikisha ujumbe tu na watu waishie kusikitika. Alitaka wajiongeze na kwenda sehemu iliyo tajwa na kuomba kijjana huyo afunguliwe.
 
Mwendazake alianguka sababu ya matendo maovu kama hayai

Utawala huu hakika utaanguka kwa matendo kama haya
 
Ni wapi nchi inaelekea? Haya mpaka lini? Nani wa kumfunga paka kengele?
Wanataka msiwaseme wala kuwabugudhi wanapouza nchi na Kula nchi wao na familia zao

Hawazidi familia 20 lakini wanaitaabisha nchi ya watu mil ,60
 
Watanzania tutakua kimya ndgu zetu wanatekwa na kuuwawa kihuni hivi mpaka lini?? Hakika hakuna alie salama ni swala la muda tu.
 
Je ndugu huyu Dr Slaa ameshauona mwili wa Deusdedith Soka? Basi atupe update
 
Je ndugu huyu Dr Slaa ameshauona mwili wa Deusdedith Soka? Basi atupe update
Sielewi kwa nini unaniuliza mimi swali hilo. Kwa nini usiwaulize polisi huyo kijana alipo muda wote huu. Kama kavunja sheria, kwa nini taratibu zinazo fahamika hazifuatwi?

Inashangaza sana watu na akili zenu timamu mnalemewa kabisa na ushabiki tu wa kisiasa namna hii.
 
Mungu msaidie mja wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…