Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

Kuwa chawa lazima uwe na mental illness, Mwashambwa uchawa hautakutoa tafuta career nyingine
 
Sijawahi kukutana na chawa anayejitambua.
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanza nia ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
[emoji2956][emoji7]
 
Mkuu nilikuwa nakuchukulia mtu makini kumbe nawe una udini wa kijinga kama wa Faizafox na The Big Show?!.
Dr Slaa alitoka CCM baada ya jina lake kukatwa kwenye kura za maoni kipindi cha Mkapa (mkatoliki mwenzake) kwenda CHADEMA hapo unazungumziaji?!
Halafu gafla tu umesahau Dr Slaa alijiondoa CHADEMA baada ya Mbowe kumkaribisha Lowassa ambaye Slaa miaka yote amekuwa akimhubiri majukwaani kwamba ni fisadi?? Hivyo kwa principle zake akaogopa kula matapishi yake mwenyewe.
Kilichofuatia baada ya hapo ni ccm ya Magufuli ku take advantage kwa kumkaribisha Dr Slaa kiaina upande kwa lengo la kuidhoofisha zaidi CHADEMA na kwa maoni yangu walifanikiwa vizuri kabisa!!.
 
CCM ilikuwa haihitaji Dr Slaa kuidhoofisha Chadema maana watanzania ndio walioidhoofisha chadema kwa kuikataa na kutoiunga mkono, kutokana na kukosa kwake sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania. CCM inaungwa mkono na kuendelea kupigiwa kura za ndio kila uchaguzi kutokana na sera na ajenda zake zinazogusa maisha yao.
 
Tuwekee takwimu au opinion poll kutoka taasisi ya kuaminika za kuthibitisha andiko lako hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…