Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

Mwaka 2015 uliyasema haya kumhusu Dr Slaa??
Nilianza kuyasema kabla ya 2015 na nikakazia 2015. kwa ujinga wa Slaa wa kutaka kuhalalisha gongo, nilimwambia haya:


Fikiri, mtu anakwenda kushindania kiti cha Urais na kichwa kama cha Kikwete. mwana diplomasia wa Kimataifa, halafu unaenda na sera za kuhalalisha gongo, kitu ambacho Nyerere alikifanya kwa vitendo kikabuma. Zote hizo, Nyerere na Slaa ni akili za kanisani. Jikumbuhe:

 
unajua alikimbiwa na yule mkewe,aliyeenda nae sweden?
 
Lucas mwashambwa hushangai kila anayetoa moment anakutukana.
Uchawa ilikua kipindi Cha mwendazake. Sasa hivi Ni Al makhtoum.
 
nilikwambia Dr. Slaa kama uliiweza kutusaliti na ukakubali kufanya kazi na DIKTETA MAGUFULI. Mungu hawezi kukuacha salama atakuadhibu hapa hapa tunaona. na hiyo ni Mwanzo tu mengi yanakuja. Ulitoa maneno ya "KISENGE" Sana kipindi DIKTETA MAGUFULI alivyo mshambulia Kwa risasi Tundu Lissu . Kila baya likufike snitch ass wewe 😡😡😡
 
Wanaomuelewa LISSU ni wale weny utimam wa akili na wasio na chembe za uchawa!! NB: Kuna wananchi wanazid kurudisha kadi za CCM kule lushoto na kusini!!
 
Mnafiki sana huyo mzee.Ndio maana kwa sasa watanzania wanampuuza na kumdharau. .
Wanamwita kakapoa huyu jamaa wanamwita mtoto wa watu huyu jamaa cjui ni njaa huyu jamaa.....🎶🎶🎶. Endelea kuendekeza njaa zako!!
 
iw
Kweli maneno yenye maarifa na Ufahamu,yafaa sana yakitoka Moyoni ♥️!
 
Huyo slaa ananyea kila kambi anayopitia.

Mtu wa hovyo, mwongo, mnafik, asiye na maadili, kuwahi kutokea Tanzania hii.
Weka uongo wake, uhovyo wake, unafiki wake!! Cz hii yote imekuja baada ya kukosoa dili lenu la DP world!!uongo wake ni upi kweny hoja zake za kukosoa mkataba wa DP world? Tuanzie hapo.. Bi mkora..
 
Utumbo wa nguruwe
 
Ingekuwa hivyo angeungana na Mkapa toka wakati ule Mkapa alipotaka kumpa ubalozi wa kudumu UN.

Dr sio msaliti wala sio mnafiki ila ni kinyume chake. Hakutaka kuwasaliti watanzania kwa kile alichoaminisha yeye na chama chake kuhusu Lowasa.

Hakuwa mnafiki sababu alisimamia kile alichoaminisha wengi hata pale wenzie wa chama walipojivisha unafiki na kusema mwenye ushahidi aende mahakamani.

Sasa huo unafiki ni upi..wengi wanaomzungumzia dr silaa wala hawamjui..ni watoto wa siasa za mafuriko ambao walifuata mkondo..bahati mbaya walimjua dr silaa kipindi cha mafuriko bila kujua dr. Silaa ndio aliipaisha chadema na hata Lissu alitambulishwa na Dr. Silaa.

Yeye ndio alikuwa msomaji na mchambuzi wa nyaraka ngumu na za siri za serikali bungeni na wakimnyima nafasi bungeni anawaambia napeleka kwenye mahakama ya wananchi..na kiliwaka kweli.

Kipindi kile mnadhimu wa jeshi general Shimbo alimtishia kumshughulikia kwa kuisema serikali na jeshi, Dr silaa hakumchelewesha, akasema anaongea hivyo kwa sababu amejipigia pande tenda ya matrekta ya suma JKT na power tillers. Tena akamuambia ana ushahidi namna jamaa alivyokuwa na ukwasi wa hela kaziweka SA.

Pia aliamuambia kwa sasa siri za jeshi ni mbinu tu za kupigana mengineyo hayana siri maana marekani inao uwezo wa kuona hadi km 5 kwenda chini ya ardhi.

Msione watu tunamuimba dr..aliamua kupishana na usaliti na unafiki wa chadema.

Msisahau aliongoza miaka nane ya operesheni sangara ya kumkataa lowasa na ccm bara na visiwani huku yeye na mkewe wakiwa mstari wa mbele.
 
The Boss, this is too low bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…