Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Nawewe urudi ulikotokaKwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeseza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Kwa nini msimrudishe Lowassa...Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeseza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Haturudii makosa.Kwa nini msimrudishe Lowassa...
Wapi?Nawewe urudi ulikotoka
Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeseza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Mbona alipokuwa Chadema tulikuwa tunamlipa mil 15+ ili awe katibu mkuu ili aimarishe chama?Usitake Dr akose u mwenyekiti wa bodi na kuongeza pension kidogo.
Na Dr Bashiru tulimlipa kiasi gani?Mbona alipokuwa Chadema tulikuwa tunamlipa mil 15+ ili awe katibu mkuu ili aimarishe chama?
Ya Ccm waachie wao.Na Dr Bashiru tulimlipa kiasi gani?
Hujui lolote, Dr alisaliti?Huyo tayari ni mamluki. Mtu aliyekisaliti chama tena akambembelezwe? You can both go to hell.
Akili ndogo sana hii. Sasa hujiulizi huyo Dr akirudi anaweza tu kua ni mmoja qa serikali hiyo hiyo na akaishia kuwazuga tu?washabiki wa siasa hasa siasa ya upinzani sioni kama hua mnatumia akili sawasawaKwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Hujui siasa wewe. Unadhani siasa ni uhabiki wa Simba na yanga? Siasa ni maisha ya watu.Akili ndogo sana hii. Sasa hujiulizi huyo Dr akirudi anaweza tu kua ni mmoja qa serikali hiyo hiyo na akaishia kuwazuga tu?washabiki wa siasa hasa siasa ya upinzani sioni kama hua mnatumia akili sawasawa
Chagua mwenyewe.Wapi?