Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #21
Kaa kimya kijana.Chagua mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa kimya kijana.Chagua mwenyewe.
Imba mapambio kwa sauti kuu mzee.Kaa kimya kijana.
Naamini huna akili timamuHujui siasa wewe. Unadhani siasa ni uhabiki wa Simba na yanga? Siasa ni maisha ya watu.
Umewaza niniUvutaji wa bangi una wenyewe.Vichwa panzi mnywe chai.
Slaa kurudi cdm mpaka mhakikishe shimo la choo lililo ndani ya chumba cha kulala mmelifukia .Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Tuondolee ukuda wako wa kiccm hapaKwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Baadae akakengeuka jembe likakongomekwa mpini akabakia kuwa mateka wa CCMDr Slaa alikuwa Jembe sana
Akaazishe chama chake ila chadema akuna nafasiKwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Huo upuuzi wa kumleta Lowassa na kumweka pembeni Dr Slaa ndio ulinifanya niache kuiunga mkono chadema.Akirudi Dr Slaa itabidi Mbowe akae pembeni maana ujinga alioufanya kumleta Lowasa hausameheki hata kidogo.
Soma tena uzi aliouandika.Anawaza kwa kutumia nini?Umewaza nini
Chadema inajifiaAkirudi Dr Slaa itabidi Mbowe akae pembeni maana ujinga alioufanya kumleta Lowasa hausameheki hata kidogo.
Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
aende Burundi
Wewe takataka ya Lumumba, Kamanda Asiyechoka, tulia kidogo nikupe somo kuhusu historia ya mageuzi iliyopelekea kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi. Upepo wa mabadiliko ulipoanza kuvuma tu, ni wachache sana waliokuwa na ujasiri wa kujitokeza wazi wazi kuunga mkono na kudai mabadiliko hayo na nakuapia Dr. Wilbroad Slaa hakuwa moja wao.Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.
Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.
Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Umepresent pumba tupu.Wewe takataka ya Lumumba, Kamanda Asiyechoka, tulia kidogo nikupe somo kuhusu historia ya mageuzi iliyopelekea kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi. Upepo wa mabadiliko ulipoanza kuvuma tu, ni wachache sana waliokuwa na ujasiri wa kujitokeza wazi wazi kuunga mkono na kudai mabadiliko hayo na nakuapia Dr. Wilbroad Slaa hakuwa moja wao.
Dr Wilbroad Slaa katu hakushushiriki katika mapambano ya kudai demokrasia ya vyama vingi kwani kama walivyokuwa wachumia tumbo wote nyakati hizo, hakuwa na ujasiri huo. Ni pale alipotupwa nje baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kupitia chama hicho cha Majizi, CCM, ndipo alipodandia treni ya Chadema na kupata ufadhili wa kugombea nafasi hiyo.
Kumbuka huo ulikuwa ni uchaguzi wa kwanza kabisa chini ya mfumo wa vyama vingi, uchaguzi uliofanyika mwaka 1995. Dr Slaa hakuwa peke yake katika walafi wa madaraka waliodandia treni ya chama cha Upinzani, mwingine aliyefanya hivyo ni mgombea wa Urais mwaka huo mzee wa kiraracha Augustino Lyatonga Mrema, naye baada ya kutupwa na CCM alidandia treni ya NCCR.
Huwa naudhika sana hawa watu wawili wanapohusiswa na harakati za kudai demokrasia ya vyama vingi kwani nyakati hizo waliungana na watesi wa wanamageuzi wa kweli. Dr. Slaa alipoamua kurudi CCM alikuwa anarudi nyumbani baada ya kugundua kuwa huko upinzani kuna kuhangaika juani tofauti na CCM ambako wezi na mafisadi hutafuna rasilimali za taifa kivulini.
Nyie watoto mliozaliwa kwenye mikesha ya mwenge historia kama hizi mtazijulia wapi?
Of course huwezi kujua hayo na ndio maana unaita pumba. Kwa ufahamisho ni mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza rasmi baada ya mapambano yalioanza tangu mwaka 1989. Dr Slaa alijiunga na Chadema mwaka wa uchaguzi 1995 baada ya kuachwa na CCM pamoja na kuongoza kwenye kura ya maoni akigombea ubunge.Umepresent pumba tupu.
Kama una akili timamu utajua what is what.Of course huwezi kujua hayo na ndio maana unaita pumba. Kwa ufahamisho ni mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza rasmi baada ya mapambano yalioanza tangu mwaka 1989. Dr Slaa alijiunga na Chadema mwaka wa uchaguzi 1995 baada ya kuachwa na CCM pamoja na kuongoza kwenye kura ya maoni akigombea ubunge.