chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.
Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.
Hakika huyu Dk siku akimwaga mboga na ugali, kile chama kimekwisha