KWELI Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdedith Soka atauawa na kutupwa msituni

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Kumuua mlipa kodi ni kuhujumu taifa na uchumi wake!!!

Hiyo ieleweke hivyo!!!
Wamwachie huyo jamaa ni mlipakodi Kila anaponunua bidhaa hapa nchini!
 
Kwamba hii katiba haikuwepo kipindi cha marais wengine? Umesikia tamko lolote la rais kutaka uchunguzi au kukemea haya yote zaidi ya kusema ni drama?
Uchunguzi afanye nani wakati hao wanaotakiwa kufanya Uchunguzi ndio watuhumiwa wakubwa Namba moja kwenye janga hili?? Hivi mtuhumiwa anaweza kujichubguza yeye mwenyewe kuhusu tuhuma zake anazotuhumiwa???

Wahalifu au Uhalifu hauwezi kukomeshwa kwa matamko ya kisiasa ya kiongozi Bali kwa kupitia adhabu kali zinazitolewa kwa kupitia michakato halali ya kisheria ikiwemo Watuhumiwa kuadhibiwa na Mahakama
 
Habari wapendwa, kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa Dkt. Slaa amepata taarifa ya Deusdedit Soka ya kwamba atauawa leo na kutupwa msituni, je, Taarifa hiyo ni kweli imetoka kwa slaa? Na ina ukweli?

Tafadhari nipeni majina ya hao wababe waliotumwa kuua huyo kijana haraka iwezekanavyo.
 
Nani kakudanganya???

Unafikiri Watu wote waliopo kwenye mtandao huu ni wajinga Kama ulivyo wewe??? Endelea kubaki hivyo hivyo ulivyo, sisi hatudanganyiki kamwe.

Zamani katiba ilikua nzuri sana wakati hamna utekani? Lini katiba ilibadilika haya mambo yakaanza?
 
Inasikitisha sana:-

1.Ramadhani Tarimo- Rasta
2.Prosper
3.Stella
 
hivi hivi vikosi kazi vinaelewa wanachofanya au... unaua watu wenye akili ubaki na makondoo...hii inchi tunaweza kuibomoa kwa mikono yetu wenyewe...tukiacha kulipa kodi kabisa..wakose na posho za kuwalipahao policcm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…