Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tuna serikali dhalimu ya kishetani kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali zetu zinaenda kuijenga ZanzibarAkili yake ipo kwenye kuharibu uchaguzi ili aendeleze wizi na ufisadi wa mali za watanganyika
Kwanini takukuru wasiwachunguze mbowe na mama Samia dhidi ya tuhuma za Slaa?Magufuli alikua na aibu? Yaani Samia na huyo babu Slaa nani alipaswa kuwa na aibu?? Akae mitandaoni kuzusha hovyo achekewe?? Hivi zile tuhuma nzito mnawaweka kwenye nafasi gani waliodhalilishwa akiwemo Mbowe??
Nyie Hayawani mna akili gani?? Kwamba kuna watu wana exptional right ya kuumiza wenzao ila sio wao??
Ningekua na uwezo wa kuwa nyapala ningeingia alipo huyo mzee nimfanyizie vibaya sana ili akinywee kikombe aone uchungu wake.
Ahaaa ndo alichokua anawafanyia Magufuli hiki??ulivyobweka hapa atadhani umeingiziwa mashine kwenye kinyeo!
Kama Ile ya update piaHivi Dr Slaa ajira ya ubalozi iliisha?
Huwa inahuzunisha sana kuona watu wazima wakifanya mambo ya kitoto.Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.
Dkt. Slaa hajafikishwa mahakamani hapa na sababu iliyoelezwa na upande wa jamhuri kuwa ni uwepo wa changamoto ya usafiri(gari) ambalo lingetakiwa kuwaleta washtakiwa katika mahakama hiyo.
Jibu hilo limetolewa baada ya wakili wa Dkt. Slaa, Peter Madeleka kuhoji juu ya kutofikishwa mahakamani kwa Dkt. Slaa.
Pia soma > Pre GE2025 - Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka
Kesi ya Dk. Slaa yaendelea bila kuwepo Mahakamani, Wakili wa Jamhuri asema gari lililotakiwa kuleta washtakiwa limepata tatizo la kiufundi
Licha ya Kesi namba 993 ya Mwaka 2025 inayomkabili Dkt. Slaa kutajwa leo Januari 31, 2025 lakini mshtakiwa huyo hajafikishwa Mahakamani kutokana na kilichodaiwa kuwa kumetokea na changamoto ya kiufundi kwenye gari la liliotakiwa kuwaleta watuhumiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Baada ya Mawakili wa Upende wa utetezi wakiongozwa na Wakili Hekima Mwasipu kutaka kufahamu sababu za mteja wao kutolewa Mahakamani, Wakili wa Jamhuri amejibu kwa kusema kwamba kumetokea tatizo la kiufundi kwenye gari ambalo lilitakiwa kuwaleta washtakiwa mahakamani ikiwemo Dkt. Slaa.
Kesi hiyo inaendelea kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ikiwa ni siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri la Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
Dkt. Slaa kupitia Mawakili wake walifungua shauri la mapitio la kesi yake katika Mahakama Kuu kupinga mwenendo wa Mahakama ya Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa dhamana yake kutokana na maombi ya kupinga dhamana yaliyotolewa na Jamhuri.
Itakumbukwa Dkt. Slaa alikosa dhamana tangu alipofikishwa Mahakamani Januari 10, 2025 kusomewa shtaka linalomkabili la kusambaza taarifa za uongo kupitia Mtandao wa X.
Haya mambo ya kitoto yanadhalilisha tu vyombo vyetu vya dola. Maana inaonekana kabisa hawafanyi kazi zao kwa weredi! Isipokuwa kwa mihemko, kujipendekeza, na pia maagizo kutoka kwa wanasiasa wa chama tawala.Serikali ya mama utadhani inaongozwa na watoto wadogo, akili kisoda wooote!!.
Hawa watawala chini ya CCM hakika ni wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida...!Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.
Dkt. Slaa hajafikishwa mahakamani hapa na sababu iliyoelezwa na upande wa jamhuri kuwa ni uwepo wa changamoto ya usafiri(gari) ambalo lingetakiwa kuwaleta washtakiwa katika mahakama hiyo.
Jibu hilo limetolewa baada ya wakili wa Dkt. Slaa, Peter Madeleka kuhoji juu ya kutofikishwa mahakamani kwa Dkt. Slaa.
Pia soma > Pre GE2025 - Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka
Kesi ya Dk. Slaa yaendelea bila kuwepo Mahakamani, Wakili wa Jamhuri asema gari lililotakiwa kuleta washtakiwa limepata tatizo la kiufundi
Licha ya Kesi namba 993 ya Mwaka 2025 inayomkabili Dkt. Slaa kutajwa leo Januari 31, 2025 lakini mshtakiwa huyo hajafikishwa Mahakamani kutokana na kilichodaiwa kuwa kumetokea na changamoto ya kiufundi kwenye gari la liliotakiwa kuwaleta watuhumiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Baada ya Mawakili wa Upende wa utetezi wakiongozwa na Wakili Hekima Mwasipu kutaka kufahamu sababu za mteja wao kutolewa Mahakamani, Wakili wa Jamhuri amejibu kwa kusema kwamba kumetokea tatizo la kiufundi kwenye gari ambalo lilitakiwa kuwaleta washtakiwa mahakamani ikiwemo Dkt. Slaa.
Kesi hiyo inaendelea kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ikiwa ni siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri la Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
Dkt. Slaa kupitia Mawakili wake walifungua shauri la mapitio la kesi yake katika Mahakama Kuu kupinga mwenendo wa Mahakama ya Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa dhamana yake kutokana na maombi ya kupinga dhamana yaliyotolewa na Jamhuri.
Itakumbukwa Dkt. Slaa alikosa dhamana tangu alipofikishwa Mahakamani Januari 10, 2025 kusomewa shtaka linalomkabili la kusambaza taarifa za uongo kupitia Mtandao wa X.
Japo Mahakama inakiuka misingi ya haki lakini huyu msaliti nyoka ndimi mbili wacha wamkomeshealiwakimbilia mwenyewe sada wanamnyoosha. Haya ni mambo ambayo tunayapigia sana kelele lakini yeye aliamua kuwalamaba mananihii....... akome.Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.