Pre GE2025 Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini takukuru wasiwachunguze mbowe na mama Samia dhidi ya tuhuma za Slaa?
 
Huwa inahuzunisha sana kuona watu wazima wakifanya mambo ya kitoto.
 
Serikali ya mama utadhani inaongozwa na watoto wadogo, akili kisoda wooote!!.
Haya mambo ya kitoto yanadhalilisha tu vyombo vyetu vya dola. Maana inaonekana kabisa hawafanyi kazi zao kwa weredi! Isipokuwa kwa mihemko, kujipendekeza, na pia maagizo kutoka kwa wanasiasa wa chama tawala.
 
Hawa watawala chini ya CCM hakika ni wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida...!

Hivi kweli wanadhani Watanzania ni wajinga na wapumbavu kama wao kuwa wanaweza kuamini uongo na ujinga wao huu kuwa wameshindwa kumleta mshitakiwa fulani eti kwa sababu ya gari kupata hitilafu...?

Yaani Serikali kupitia magereza nchi nzima ina gari moja tu, hilo lenye hitilafu? Really....?

Kama ni hivi, mbona basi tuna serikali na watu wajinga, wa hovyo, waongo, mafisadi na wapumbavu sana wanaiongoza nchi hii...??

Gari ndio sababu? Really...?

Mmeshindwa kitu gani hata kuja kuniomba gari yangu ije kubeba watu wenu waende mahakamani kwa gharama zote mafuta na posho zenu kwangu nyie wajinga..??

Mmeshindwa hata kutumia bodaboda kuleta mtu mzee huyu wa sampuli ya Dr Slaa...?

Nimeidharau na kuipuuza kabisa serikali ya Samia Suluhu Hassan yenye watendaji wapuuzi na wajinga kiasi hiki...!!

How come watuone Watanzania wote ni wajinga na tunaweza kudanganywa kirejareja tu kiasi hiki..???
 
Japo Mahakama inakiuka misingi ya haki lakini huyu msaliti nyoka ndimi mbili wacha wamkomeshealiwakimbilia mwenyewe sada wanamnyoosha. Haya ni mambo ambayo tunayapigia sana kelele lakini yeye aliamua kuwalamaba mananihii....... akome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…