johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waende bungeni wakapimwe!Dr. Slaa Chadema hakuna pahali nimesikia wanasema bunge la budget lisimame.
Chadema wanataka wabunge wapimwa je wamepimwa? Chadema wanataka takwimu halisi wanaoambukizwa na kufa je zimetolewa? Chadema nanataka wa nchi madactari wapewe vifaa je wamepewa?
Bwashee sisi hatuwaigi wachina!Kwa hiyo hadi China iliyihairisha binge kwa sababu ya ugonjwa,kwao sio takwa la kikatiba??.
Huyo slaa anaweza akawa amezeeka na akili yake inashindwa kufanya kazi vizuri lakini wewe uliyechukua hii habari na kuiweka humu na ukaona unafaa kusomwa na wana JF ndio una matatizo zaidi.
Gwajima anasema!! Ni Bora mngeondoka na kwenda kujificha sio kuomba Hadi makanisa yafungwe, kufanya hivyo mnakuwa mawakala kamili wa shetwani mmekuwa wapinga KristoKwa hiyo hadi China iliyihairisha binge kwa sababu ya ugonjwa,kwao sio takwa la kikatiba??.
Huyo slaa anaweza akawa amezeeka na akili yake inashindwa kufanya kazi vizuri lakini wewe uliyechukua hii habari na kuiweka humu na ukaona unafaa kusomwa na wana JF ndio una matatizo zaidi.
Mkuu Yohane Mbatizaji, kwanza asante kwa taarifa hii, ila Bunge hili sio Bunge la Katiba ni Bunge la Bajeti!.Katiba inatamka wazi kuwa bunge la katiba
Aaaaa haaaaaa! Kumbe hayo si maneno ya Dr, bali yako wewe na Mzee Mgaya!Bwashee sisi hatuwaigi wachina!
Katiba gani hiyo?Balozi wetu huko Sweden amesema bunge la bajeti ni takwa la kikatiba hivyo haliwezi kuahirishwa kwa sababu zozote.
Katiba inatamka wazi kuwa bunge la katiba litakaa kwa siku zisizozidi 45 ukiondoa week end na sikukuu hivyo hakuna namna unaweza kuahirisha na wabunge wanalijua hilo.
Pili Dr Slaa amesema haiwezekani kusimamisha miradi mikubwa kwa kisiñgizio cha Corona maana hata Sweden hawafanyi hivyo.
Balozi amewaponda wanaosema " maisha kwanza uchumi baadae " kwamba hawana hoja kwa madai uchumi ndio unabeba maisha.
Amewataka Chadema kutoitumia Corona kama sababu ya wao kushindwa kutimiza majukumu yao ya kikatiba.
Chanzo: Channel ten!
Anatimiza matakwa ya uteuzi wake; huku akijitoa ufahamu na kuvua nguo hadharani watu waone utupu wake.Balozi wetu huko Sweden amesema bunge la bajeti ni takwa la kikatiba hivyo haliwezi kuahirishwa kwa sababu zozote.
Katiba inatamka wazi kuwa bunge la kbajeti litakaa kwa siku zisizozidi 45 ukiondoa week end na sikukuu hivyo hakuna namna unaweza kuahirisha na wabunge wanalijua hilo.