Dkt. Slaa: Bunge la bajeti ni takwa la kikatiba haliwezi kuahirishwa, Chadema wanatafuta huruma ya kisiasa lakini wamechelewa

Masikini Dr, SLAA umefikia kuandikiwa cha kuongea. Kununulia kweli utumwa. Pole sana
 
Nitawashangaa wananchi watakaowarudisha bungeni watu waliowakimbia wakati wakiwahitaji zaidi.
 
Balozi wetu huko Sweden amesema bunge la bajeti ni takwa la kikatiba hivyo haliwezi kuahirishwa kwa sababu zozote.
Katiba inatamka wazi kuwa bunge la kbajeti litakaa kwa siku zisizozidi 45 ukiondoa week end na sikukuu hivyo hakuna namna unaweza kuahirisha na wabunge wanalijua hilo.

Pili Dr Slaa amesema haiwezekani kusimamisha miradi mikubwa kwa kisiñgizio cha Corona maana hata Sweden hawafanyi hivyo.

Balozi amewaponda wanaosema " maisha kwanza uchumi baadae " kwamba hawana hoja kwa madai uchumi ndio unabeba maisha.

Amewataka Chadema kutoitumia Corona kama sababu ya wao kushindwa kutimiza majukumu yao ya kikatiba.

Chanzo: Channel ten!
Kwani kuoa iko kwenye kiapo cha upadre?
Huyu ni padre aliyekula kiapo cha utii na useja alivunja kiapo akaenda kufanya uzizi, anatofauti gani na Gwaji boy!!
 
Mzee tuambie Je upo sebureni ama chumbani? ile ndoo ya mzigo upo nayo ulipo?
 
Dr. Slaa Chadema hakuna pahali nimesikia wanasema bunge la budget lifutwe Kuna Tofauti kufuta na kusimamisha bunge.

Chadema wanataka wabunge wapimwa je wamepimwa? Chadema wanataka takwimu halisi wanaoambukizwa na kufa je zimetolewa?

Chadema nanataka wa nchi madactari wapewe vifaa je wamepewa?

Tumia muda wako kumshauri jiwa asiendelee kujificha chato.
Wakipata takwimu inawasaidia nn au ndo maji yanapatikana Hai ujinga mwingine hauna kipimo
 
Dr. Slaa Chadema hakuna pahali nimesikia wanasema bunge la budget lifutwe Kuna Tofauti kufuta na kusimamisha bunge.

Chadema wanataka wabunge wapimwa je wamepimwa? Chadema wanataka takwimu halisi wanaoambukizwa na kufa je zimetolewa?

Chadema nanataka wa nchi madactari wapewe vifaa je wamepewa?

Tumia muda wako kumshauri jiwa asiendelee kujificha chato.
Wakiwa karantini wanahudhuria vikao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hadi China iliyihairisha binge kwa sababu ya ugonjwa,kwao sio takwa la kikatiba??.
Huyo slaa anaweza akawa amezeeka na akili yake inashindwa kufanya kazi vizuri lakini wewe uliyechukua hii habari na kuiweka humu na ukaona unafaa kusomwa na wana JF ndio una matatizo zaidi.
Walikuwa na Bunge la bajeti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee kichwa kibovu kweli. Kwahiyo watu wafe ili kutimiza takwa ambalo kimsingi amechapia? Yeye mwenyewe kafungiwa jinga sana. Sweden leo ameripoti kuwa wanatumia kinyesi cha kuku ili kuwalazimisha watu wabaki ndani. Ngoja amuige boss wake amwagiwe kinyesi. Kwanza bajeti ipi ambayo hata haitekelezwi. Dr. Slaa ni mjinga!
Mbowe ni mgonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima anasema!! Ni Bora mngeondoka na kwenda kujificha sio kuomba Hadi makanisa yafungwe, kufanya hivyo mnakuwa mawakala kamili wa shetwani mmekuwa wapinga Kristo

Wakati mnaingia Bumgeni mlikuwa manaimba kwamba Mlianza na Mungu na mtamaliza na Mungu, inakuweje leo mnataka kumaliza na Shetani?

Vita vilivyopo ni vya Kiroho, inakuwaje mlioanza na MUNGU mnaweka mpira kwapani?

Hayo Ni maneno ya Gwajima aliyekuwa mtetezi wenu Kwa kuwa mlionekana kuegama Kwa Mungu Ila Kwa sasa nyinyi ndio mnaoongoza vita ya kumpinga Mungu mchana kweupe, mkisema makania na miskiti ifungwe
Chadema Wana mapepo machafu
 
Ukisha hamia ccm , kichwa kinajazwa matope.
Balozi wetu huko Sweden amesema bunge la bajeti ni takwa la kikatiba hivyo haliwezi kuahirishwa kwa sababu zozote.
Katiba inatamka wazi kuwa bunge la kbajeti litakaa kwa siku zisizozidi 45 ukiondoa week end na sikukuu hivyo hakuna namna unaweza kuahirisha na wabunge wanalijua hilo.

Pili Dr Slaa amesema haiwezekani kusimamisha miradi mikubwa kwa kisiñgizio cha Corona maana hata Sweden hawafanyi hivyo.

Balozi amewaponda wanaosema " maisha kwanza uchumi baadae " kwamba hawana hoja kwa madai uchumi ndio unabeba maisha.

Amewataka Chadema kutoitumia Corona kama sababu ya wao kushindwa kutimiza majukumu yao ya kikatiba.

Chanzo: Channel ten!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima anasema!! Ni Bora mngeondoka na kwenda kujificha sio kuomba Hadi makanisa yafungwe, kufanya hivyo mnakuwa mawakala kamili wa shetwani mmekuwa wapinga Kristo

Wakati mnaingia Bumgeni mlikuwa manaimba kwamba Mlianza na Mungu na mtamaliza na Mungu, inakuweje leo mnataka kumaliza na Shetani?

Vita vilivyopo ni vya Kiroho, inakuwaje mlioanza na MUNGU mnaweka mpira kwapani?

Hayo Ni maneno ya Gwajima aliyekuwa mtetezi wenu Kwa kuwa mlionekana kuegama Kwa Mungu Ila Kwa sasa nyinyi ndio mnaoongoza vita ya kumpinga Mungu mchana kweupe, mkisema makania na miskiti ifungwe
Kama Gwajima ndie role model wako, Pole.

Alisema Corona haitakuja Tanzania, mkamshangilia, leo imekuja sijui kwanini hamumuulizi vipi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kama ni takwa la kikatiba basi Spika na ofisi yake walitakiwa wachukue tahadhari zote kuhakikisha wanawalinda wabunge na ili waweze kushiriki bila hofu ya afya zao.

..wabunge wa upinzani wametoa wito kwa Spika kwamba wabunge wote wapimwe ili kujua kuwa wako salama na waweze kushiriki ktk vikao changamoto ya kuhisi kuwa ni waathirika. Kwa bahati mbaya Spika amepuuza wito wa wabunge wa upinzani.

.
 
Dr. Slaa Chadema hakuna pahali nimesikia wanasema bunge la budget lifutwe Kuna Tofauti kufuta na kusimamisha bunge.

Chadema wanataka wabunge wapimwa je wamepimwa? Chadema wanataka takwimu halisi wanaoambukizwa na kufa je zimetolewa?

Chadema nanataka wa nchi madactari wapewe vifaa je wamepewa?

Tumia muda wako kumshauri jiwa asiendelee kujificha chato.
Hivi ni nani anayezuia wabunge wa chadema kupimwa? Ikiwa wananchi wa kawaida wanajipeleka kupima, wao wanashindwaje? Utoto nao ukizidi ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom