Kwani kuoa iko kwenye kiapo cha upadre?Balozi wetu huko Sweden amesema bunge la bajeti ni takwa la kikatiba hivyo haliwezi kuahirishwa kwa sababu zozote.
Katiba inatamka wazi kuwa bunge la kbajeti litakaa kwa siku zisizozidi 45 ukiondoa week end na sikukuu hivyo hakuna namna unaweza kuahirisha na wabunge wanalijua hilo.
Pili Dr Slaa amesema haiwezekani kusimamisha miradi mikubwa kwa kisiñgizio cha Corona maana hata Sweden hawafanyi hivyo.
Balozi amewaponda wanaosema " maisha kwanza uchumi baadae " kwamba hawana hoja kwa madai uchumi ndio unabeba maisha.
Amewataka Chadema kutoitumia Corona kama sababu ya wao kushindwa kutimiza majukumu yao ya kikatiba.
Chanzo: Channel ten!
Wakipata takwimu inawasaidia nn au ndo maji yanapatikana Hai ujinga mwingine hauna kipimoDr. Slaa Chadema hakuna pahali nimesikia wanasema bunge la budget lifutwe Kuna Tofauti kufuta na kusimamisha bunge.
Chadema wanataka wabunge wapimwa je wamepimwa? Chadema wanataka takwimu halisi wanaoambukizwa na kufa je zimetolewa?
Chadema nanataka wa nchi madactari wapewe vifaa je wamepewa?
Tumia muda wako kumshauri jiwa asiendelee kujificha chato.
Wakiwa karantini wanahudhuria vikao?Dr. Slaa Chadema hakuna pahali nimesikia wanasema bunge la budget lifutwe Kuna Tofauti kufuta na kusimamisha bunge.
Chadema wanataka wabunge wapimwa je wamepimwa? Chadema wanataka takwimu halisi wanaoambukizwa na kufa je zimetolewa?
Chadema nanataka wa nchi madactari wapewe vifaa je wamepewa?
Tumia muda wako kumshauri jiwa asiendelee kujificha chato.
Walikuwa na Bunge la bajeti?Kwa hiyo hadi China iliyihairisha binge kwa sababu ya ugonjwa,kwao sio takwa la kikatiba??.
Huyo slaa anaweza akawa amezeeka na akili yake inashindwa kufanya kazi vizuri lakini wewe uliyechukua hii habari na kuiweka humu na ukaona unafaa kusomwa na wana JF ndio una matatizo zaidi.
Mbowe ni mgonjwa?Huyu mzee kichwa kibovu kweli. Kwahiyo watu wafe ili kutimiza takwa ambalo kimsingi amechapia? Yeye mwenyewe kafungiwa jinga sana. Sweden leo ameripoti kuwa wanatumia kinyesi cha kuku ili kuwalazimisha watu wabaki ndani. Ngoja amuige boss wake amwagiwe kinyesi. Kwanza bajeti ipi ambayo hata haitekelezwi. Dr. Slaa ni mjinga!
Chadema Wana mapepo machafuGwajima anasema!! Ni Bora mngeondoka na kwenda kujificha sio kuomba Hadi makanisa yafungwe, kufanya hivyo mnakuwa mawakala kamili wa shetwani mmekuwa wapinga Kristo
Wakati mnaingia Bumgeni mlikuwa manaimba kwamba Mlianza na Mungu na mtamaliza na Mungu, inakuweje leo mnataka kumaliza na Shetani?
Vita vilivyopo ni vya Kiroho, inakuwaje mlioanza na MUNGU mnaweka mpira kwapani?
Hayo Ni maneno ya Gwajima aliyekuwa mtetezi wenu Kwa kuwa mlionekana kuegama Kwa Mungu Ila Kwa sasa nyinyi ndio mnaoongoza vita ya kumpinga Mungu mchana kweupe, mkisema makania na miskiti ifungwe
Balozi wetu huko Sweden amesema bunge la bajeti ni takwa la kikatiba hivyo haliwezi kuahirishwa kwa sababu zozote.
Katiba inatamka wazi kuwa bunge la kbajeti litakaa kwa siku zisizozidi 45 ukiondoa week end na sikukuu hivyo hakuna namna unaweza kuahirisha na wabunge wanalijua hilo.
Pili Dr Slaa amesema haiwezekani kusimamisha miradi mikubwa kwa kisiñgizio cha Corona maana hata Sweden hawafanyi hivyo.
Balozi amewaponda wanaosema " maisha kwanza uchumi baadae " kwamba hawana hoja kwa madai uchumi ndio unabeba maisha.
Amewataka Chadema kutoitumia Corona kama sababu ya wao kushindwa kutimiza majukumu yao ya kikatiba.
Chanzo: Channel ten!
Kama Gwajima ndie role model wako, Pole.Gwajima anasema!! Ni Bora mngeondoka na kwenda kujificha sio kuomba Hadi makanisa yafungwe, kufanya hivyo mnakuwa mawakala kamili wa shetwani mmekuwa wapinga Kristo
Wakati mnaingia Bumgeni mlikuwa manaimba kwamba Mlianza na Mungu na mtamaliza na Mungu, inakuweje leo mnataka kumaliza na Shetani?
Vita vilivyopo ni vya Kiroho, inakuwaje mlioanza na MUNGU mnaweka mpira kwapani?
Hayo Ni maneno ya Gwajima aliyekuwa mtetezi wenu Kwa kuwa mlionekana kuegama Kwa Mungu Ila Kwa sasa nyinyi ndio mnaoongoza vita ya kumpinga Mungu mchana kweupe, mkisema makania na miskiti ifungwe
Chadema itakuwa na mbunge mmoja tu mchungaji Msigwa!Mwaka huu tuombe Mungu uchaguzi ufanyike kwani chadema wakiingiza hata wabunge 10 nitatembea kwa miguu km 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni nani anayezuia wabunge wa chadema kupimwa? Ikiwa wananchi wa kawaida wanajipeleka kupima, wao wanashindwaje? Utoto nao ukizidi ni tatizo.Dr. Slaa Chadema hakuna pahali nimesikia wanasema bunge la budget lifutwe Kuna Tofauti kufuta na kusimamisha bunge.