Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Washirika gani wakati watalii wengi ni kutoka Ulaya, misaada mingi pia ni kutoka Ulaya. Asia wenyewe wanakimbilia kufanya biashara na Ulaya
 
Kumwabud mtu mweup mapak lin uoga wako.umasikin wako maswal ya kuogop mbwa hao ni dhambi maaan hata mung anasem nikosa kumwabud binadam
 
Mitano tena
 
Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??

Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Wachina unaowafikiria kuwa unaweza kufanya nao biashara, waliwekewa mbinyo kidogo tu na Marekani kwenye biashara, ukuaji wao uludondoka ghafla mpaka 2%, na hautegemewi kupanda tena kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

Ukiwejewa vikwazo na hayo mataifa makubwa, kila mmoja anaogopa kuwa karibu nawe. Unakuwa haramu, na haramu haiguswi.
 
Paul Silly at his best!
 
Si Tanzania ni nchi tajiri wanataka msaada kutoka Ulaya wa nini?
 
Huyu atafutwa ubalozi kwa kwenda kinyume na bosi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…