Dkt. Slaa: CHADEMA haikwepeki katika kuamua mustakabali wa Tanzania

Chadema wamrudishe kundini Dr Slaa akiamshe maana tayari Ndugu Lowassa na team yake ya ulipo tupo imerudi nyumbani.

kwny Siasa hakuna adui wala Rafiki wa kudumu

kama Jakaya aliweza kuwatumia Chadema kusambaratisha adui zake wa Ccm wakati wa Utawala wake kwanini Chadema wasimtumie Katibu bora zaid kuwahi kutokea wa Chadema
 
Mwenyekiti alifanya makosa sana kusababisha Dr. kuondoka kwenye chama.
Chama ni watu hivyo ni wakati muafaka sasa Mwenyekiti amkaribishe dokta nyumbani.
 
Wampe tena ubalozi atulie

Wanasiasa wanafki sana hawa

Ova
 
Yani huyu msaliti leo hii ndio wakuisifia CHADEMA[emoji23]
Usaliti wa dr slaa uko wapi!? Yani kukataa kuungana na lowasa aliyemtuhumu ni mwizi for more than 8 yrs na kujiamulia kukaa pembeni huo ndo usaliti? Inchi inapitia katika kipindi kigumu sana ,kama tukiachana na kumshabulia mtu sababu ya chuki baina mioyoni mwetu na kuachana na hoja anazoweka mezani ata kama ni hoja nzuri basi Chama cha mambuzi watatawala milele na milele, mpaka kije kizazi chenye kuweka hoja binafsi pembeni na kushugulikia hoja zenye maslahi mapana ya nchi.
 
Dr. Slaa kashamalizana na serikali hakuna kinachoingia kwenye Akaunti yake tena kila mwezi. Ameitumikia serikali chini ya miaka 15 siyo pensionable. Hata Mimi ningejilipua tu. Wakitaka anyamaze mama amteue ile Tume ya marehemu Mrema kama bado hajampa mtu mwingine
 
Yani huyu msaliti leo hii ndio wakuisifia CHADEMA[emoji23]

Ndio sababu nikasema huyu mzee snitch kaka!!! Ashachungulia 2025 kuna fursa kaiyona na pakuipata ni chadema tu hakuna sehemu nyingine!!!! Sasa kaanza uchawa
 
... aende zake huko! Msaliti mkubwa.
 
Nguli huyu wa siasa za tanzania
Sidhani, kama ni nguli wa siasa za tanzania maana mtu asiyekuwa na msimamo, mtu ambaye hasimamii anachokiamini kwa kufa na kupona, huyo hapewi sifa hiyo! yeye angelikaa Chadema maana aliamini kuwa Chadema ndiyo ukombozi wa nchi hii. Mara akapokea ubalozi, huyu ana siasa za kimalaya malaya!
 
Chadema haitakiwi kuwa mstari wa mbele peke yake kwenye hitaji la kitaifa, kwani kufanya hivyo kunasababisha wengine waseme madai ya Katiba Mpya ni ya kisiasa.

Naona ingependeza zaidi Chadema kuwa na maaskari wengine toka kada mbalimbali tofauti kwenye hilo dai, ili kulifanya liwe na sura pana zaidi, na kufuta madai ya kisiasa.
 
Mwenyekiti alifanya makosa sana kusababisha Dr. kuondoka kwenye chama.
Chama ni watu hivyo ni wakati muafaka sasa Mwenyekiti amkaribishe dokta nyumbani.
Aombe kurufi milango iko wazi kwa kila mtu lakini sio yeye apigiwe magoti
 
Mnafiki huyu mzee.
Tukichunguza vizuri na tukahukumu kwa haki...Slaa anaweza asiwe mnafiki kama tunavyofikiri...ikiwa tu aliondoka kwa kupinga Lowassa kupewa kugombea urais.

Ilikuwa ni makosa makubwa kumpa nafasi mtu ambayw yeye mwenyewe kutwa alihubiri ni fisadi papa.

Vinginevyo Watanzania hatujielewi.

Niliwahi kusema tangu 2015 kuwa ipo siku Slaa ataonekana ni shujaa kwa kujipambanua kumkataa Lowassa.
 
Siasa na unafiki ni vitu viwili sambamba. Angalia movement ya Lowasa na kundi lake kutoka ccm kwenda Chadema Kisha kurudi ccm, Membe kutoka Ccm kwenda ACT Kisha kurudi ccm. Haitoshangaza Slaa kutoka CDM kwenda CCM Kisha Kurudi CDM. Tukiachana na unafiki wake, mtaji wa chama Cha siasa ni watu, hasa wanaojua kujenga hoja kama Dr Slaa. Kama Dr anajirudisha taratibu acheni arudi. Pia alichoshauri naunga mkojo Hoga.
 
Slaa alikuwa ASSET CDM,

Baada ya kuondoka DR Slaa, Mnyika aliamini sana ktk misimamo ya Dr Slaa na UKIMYA ulitawala sana Hasa Kwa Mnyika na hakuwahi kumsema vibaya Dr Slaa.

Sababu kuu ni alipewa ushahidi wa maovu aliwahi Fanya Lowaassa ndani ya CCM.

Slaa akaribishwe CDM. Aamen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…