Dkt. Slaa: Freeman Mbowe aachane na Maridhiano maana hayafai, Katiba sio mali yake binafsi au mali ya Rais Samia

Nashukuru umegundua kuw si vizuri kuchomekachomeka kuhusu uenyekiti wake hata ktk mada zisizohusika.

Asante, hivyo shika hilo la kuwa wakati ukuta huku tukiendelea na mada hii ya katiba.
 
Yan inauzi kweli huyu balozi mst anakuja kufanya usnitch wa kichawi hapa, sijui ndo keshahongwa? Hivi kwa nini asiwanange ccm ambao ndo wanazuia mchakato wa katiba mpya? Kwa nini havisemi vyama vingine na viongozi wao wanafanya nini kuwezesha katiba mpya? Makundi mbalimbali na wananchi wote, akiwemo slaa mwenyewe wanafanya nini? Kwani ni mbowe tu na cdm ndo wanaotaka katiba mpya?
 
Mzee njaa imempiga, anatafuta comeback ya kisiasa huko Karatu
 
Najiuliza Kwa sauti je chadema uchaguzi ukishika dola kabla katiba haijabadilushwa watataka ibadilishwe?
Siyo tu tutataka ibadilishwe bali tutaibadilisha, tatizo lako, na la sisi watanzania kwa ujumla, ni kufiikiri kuwa hata jambo ambalo ni haki yetu kabisa wananchi hatustahili bali ni mpaka tupewe na ccm!!!!
 
Mbowe na MH Samia hawna Akili kama zako Mzee slaa. We Tulia Tu mbona nchi inakwenda fresh Tu.
 
Hakuna mtu kamzuia Slaa kutafuta katiba mpya, Kama Mbowe anatafuta na mariziano, yeye atafute ya ugomvi, hakuna kupangiana, kila mtu na department yake.
..mariziano ndo nini wewe ngedere?
 
Mkuu kwa nchi hii utawapata wapi?
 
CCM hawataki Maridhiano na Samia mwenyewe na TISS yake,wanachofanya ni kutafuta njia ya kuinyamazisha CHADEMA kwa mgongo wa Maridhiano.
Hapo Mbowe tayari kanasa,kinachoendelea sasa hivi ni kupoteza muda na Mbowe akiuliza wanawambia serikali bado inazifanyia kazi hoja zenu,basi!Kama Kuna nia kweli basi wangekuwa wameshamaliza siku nyingi na kutoa taarifa kwa Wananchi.
Ni sawa pia na wakati wa JK, CHADEMA wameitwa sana kwenye mazungumzo Ikulu lakini nini kipya kilitokea?
 
Slaa anaongea kama nani? Anatafuta huruma ya Chadema au? Awatumikie wanaomlisha
 
Dr Slaa mtu wa wivu sana.
Wakati Mbowe yuko jela yeye alikuwa anakula sali ulaya kama balozi
Sasa anataka asali asile mweziwe, wivu mtupu.
 
Wewe umekatazwa kuanzisha Chama chako ukafanya unachotaka? Au unahangaisha wenzako wenye malengo tofauti
Swali lako halifanani na jibu langu,kwa ujumla umedandia Marcpollo kwa mbele wakati haina pa kushika!
 
Swadakta naunga mkono
 
Katiba ya chadema itatafutwa na wanachadema, ila katiba ya wannchi itatafutwa na wananchi wasio na mlengo wa chama chochote.
Wananchi kut
Mpaka sasa Katiba yetu hii ya Jamhuri ya Muungano ni Katiba ya chama kimoja cha siasa(CCM) baada ya chama kushika hatamu ndipo ilipoanzishwa na misingi yake ni ya kulinda chama cha mapinduzi na viongozi wake.Ambapo Magufuri aliyumbisha nchi kwa kutumia hatamu hiyo kumweka kiongozi aliyeona anafaa yeye na si wananchi wa Tanzania kuchagua kiongozi wanayemtaka.Ambapo mwaka 2019 aliweka viongozi wa Serikali za mitaa nchi nzima wa chama chake ili aibe uchaguzi mwaka unaofuata.Pia 2020 aliweka wabunge aliowataka yeye na matokeo yake tumeyaona sasa imekuwa serikali ya kusingiziana.
Vyama vya upinzani vinapodai Katiba mpya viko sahihi kutokana na tukio la nchi kuwa ya Mfumo wa Vyama vingi.Kwa hiyo hakuna sababu ya kubishana kama tunaamini katika mfumo wa vyama vingi vya siasa,maoni yao yaheshimiwe na yatekelezwe maana hiyo ndiyo demokrasia.
 
Good points
 
Mbona rasimu ya Katiba ya Warioba ilitokana na maoni ya kada karibu zote za wananchi lakini hamuitaki?!!!

Tatizo ni chama tawala. Kimeteka Katiba ya wananchi na kuifanya mali yake kwa maslahi yake binafsi!!!
Sasa kama Tatizo ni chama tawalaa, ndio maaana tunakemea Sanaa Kwa nguvu zote chama chochote Cha kisiasa kisiiingilie zoezi hiliiii laupatikanaji wa katiba ya wananchi, vyama vya siasa vipiganie katiba za vyama vyaooo, sio katiba ya wananchi, vyama vya siasa vinaweza viaaalikwa kwenye mchakato, lakini siokuendesha mchakatooo, na hiii nikukataa umasilahivyama usiiingilie na kunajisi katiba ya wananchiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…