Kwani Freeman na Nyaucho walistaafu lini?πππ₯
tamaa ndio hulka yakeKama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Slaa hajawahi kuwa msaliti hata Siku moja, msaliti ni Mbowe na Lissu wake baada ya kupokea mshiko wa Lowassa na kuamua kumchinjilia mbali Slaa akakimbilia Canada hakaanza kubeba mabox kwenye Supermarket vijana wa chadema wakaanza kejeli, ndipo Magufuli alishikwa na uruma Maana anajua uzalendo wa Slaa kupigana na ufisadi,hakaamua kuumpa ubarozi kutoka kwenye kubeba box,Slaa aliona hakuna cha kupoteza Maana makamanda waliisha msaliti, hata hungelikuwa Wewe usingelikataa hiyo kazi Maana akina Mbowe waliisha vuruga mipango yake yote.Katika wanasiasa wakeli tanganyika Slaa ni mmoja wapo,anajua kusimamia anachokiamini.Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Uko sahihiSlaa hajawahi kuwa msaliti hata Siku moja, msaliti ni Mbowe na Lissu wake baada ya kupokea mshiko wa Lowassa na kuamua kumchinjilia mbali Slaa akakimbilia Canada hakaanza kubeba mabox kwenye Supermarket vijana wa chadema wakaanza kejeli, ndipo Magufuli alishikwa na uruma Maana anajua uzalendo wa Slaa kupigana na ufisadi,hakaamua kuumpa ubarozi kutoka kwenye kubeba box,Slaa aliona hakuna cha kupoteza Maana makamanda waliisha msaliti, hata hungelikuwa Wewe usingelikataa hiyo kazi Maana akina Mbowe waliisha vuruga mipango yake yote.Katika wanasiasa wakeli tanganyika Slaa ni mmoja wapo,anajua kusimamia anachokiamini.
CCM hainaga adui kabisa!Tunapokuwa hatuna maadui wa kudumu hilo linakuwa tatizo lenu zaidi kuliko sisi
Sasa kwanini hao ambao unasema walimsaliti (chadema) slaa anawatuhumu kwamba hawasirikiane naeSlaa hajawahi kuwa msaliti hata Siku moja, msaliti ni Mbowe na Lissu wake baada ya kupokea mshiko wa Lowassa na kuamua kumchinjilia mbali Slaa akakimbilia Canada hakaanza kubeba mabox kwenye Supermarket vijana wa chadema wakaanza kejeli, ndipo Magufuli alishikwa na uruma Maana anajua uzalendo wa Slaa kupigana na ufisadi,hakaamua kuumpa ubarozi kutoka kwenye kubeba box,Slaa aliona hakuna cha kupoteza Maana makamanda waliisha msaliti, hata hungelikuwa Wewe usingelikataa hiyo kazi Maana akina Mbowe waliisha vuruga mipango yake yote.Katika wanasiasa wakeli tanganyika Slaa ni mmoja wapo,anajua kusimamia anachokiamini.
Kwamba ccm ndo walikua wanawatetea yaani wawafungulie kesi alafu wawateteeChadema walipiga kelele?
Siyo tusi ni ukweli. Wanasema You fool me once shame on you, You fool me twice, shame on me. CCM wamewa fool mara ngapi?sasa matusi ya nini? Jibu hoja hata kama slaa ni baba yako. Jibu hoja! matusi hayana tija. Muulize huyo aliyekuleta duniani kama we are folos
Dokta Cassava sio Mdini sema akilambishwa asali badala ya badala ya kutulia na kukinyonya kibuyu anawageuka na kuwa mpiga zumari wa Dikteta.kiongozi mdini
Haongeki yule jamaa nakuhakikishia nimdini balsa nikiasi gani alipewa ambacho angemuomba Edo asingempa? Alimtetea mkatoliki mwenzake sio pesa wala teuzi tumuokope kama ukomaDokta Cassava sio Mdini sema akilambishwa asali badala ya badala ya kutulia na kukinyonya kibuyu anawageuka na kuwa mpiga zumari wa Dikteta.
Wamburu na Wamang'ati wamepokea Ukristo miaka ya 70 na 80 mimi nakumbukuka nilikuwa nikipita Gihandu nilikuwa nakuta watu wamevaa migolole na miswaki ya miti huku wakiombea gari liharibike ili wafungue matairi watengeneza viatu vya katambuga.Haongeki yule jamaa nakuhakikishia nimdini balsa nikiasi gani alipewa ambacho angemuomba Edo asingempa? Alimtetea mkatoliki mwenzake sio pesa wala teuzi tumuokope kama ukoma
Tunajuwa kabisa DR Slaa ataendelea kuongea na kuokosoa kadri ya matakwa ya wanaompa hela.Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Tatizo unataja kikundi dini nafsi yamtu ndiomaana ndani yawajinga mungu alileta mitume. Kwani umewahi kujiuliza kutokana natabia zao ulizo zitaja ilikuwaje yeye akawa padri wqkati waodini hawajui?Wamburu na Wamang'ati wamepokea Ukristo miaka ya 70 na 80 mimi nakumbukuka nilikuwa nikipita Gihandu nilikuwa nakuta watu wamevaa migolole na miswaki ya miti huku wakiombea gari liharibike ili wafungue matairi watengeneza viatu vya katambuga.
Ni lini wamekuwa wadini?
Mimi sijawahi kuuona huo "Udini" wa Dokta Cassava, hebu wewe nieleze umeuonea wapi kuwa Padre sio "Udini" ndugu.Tatizo unataja kikundi dini nafsi yamtu ndiomaana ndani yawajinga mungu alileta mitume. Kwani umewahi kujiuliza kutokana natabia zao ulizo zitaja ilikuwaje yeye akawa padri wqkati waodini hawajui?
Bwashee unahadaika na yule nguchiro?????Hata Lijualikali alitoa hiyo siri ya Chadema kutekana
Mbowe huna hana visasi kama magufuli! Usimsingizie mtu tafadhali!Mbowe: Sina nongwa na Dr Slaa
Unauliza nini kwani hajui kusoma?nimesema wazi kuwa aliondoka chadema nikwasababu yakumsaidia magu mkatoliki mwenzake ambae nimagu hakuwa nasababu .mfano mungine magu aliumiza watu wavuvi,matajiri.kuvuruga uchaguzi .kuvuruga mikataba.ambayoleo inatuweka pagumu.kuzuia siasa namengine mengi Dr mihogo alisifia tu nahata kusweka ndani mbowe yote hayonikwakua yalifanywa namkatoliki mwenzake ishi kwakumbukumbu basiMimi sijawahi kuuona huo "Udini" wa Dokta Cassava, hebu wewe nieleze umeuonea wapi kuwa Padre sio "Udini" ndugu.
Hakuna haja. Slaa ni kama hao tu. Mwanasiasa huwa haaminiki.Swala la kuamini au kutoamini mtu ni swala binafsi. Nitajie viongozi wajuu 5 ambao unaamini sio vigeugeu hapo ndio nitaamini kauli yako.