Dkt. Slaa: Katiba haipaswi kutungwa kwa maagizo ya Rais, kinachofanyika ni kiinimacho

Dkt. Slaa: Katiba haipaswi kutungwa kwa maagizo ya Rais, kinachofanyika ni kiinimacho

Kwani Rais sio Mwananchi? Hana au haruhusiwi kupendekeza tuwe na Katiba mpya? Rais pia si ni Mwananchi kama alivyo Mwenekiti wa Chadema au ACT au mtu mwingine asie na Chama
Wajinga mko wengi sana mpaka sasa bado mnataka mtu mwingine afikiri kwa niaba yenu nyie mBaki kumuimbia pambio
 
Mazungumzo ya kumleta Lowasa aje agombee Urais?
UKAWA walikua tayari wamempitisha Dr Slaa kua mgombea tayari( refer slogan ya chairman kubadili gia angani)
Dr Slaa alikua muhimu sana kwa chama kuliko Kiongozi yoyote akifuatiwa na Lisu.
Ulishiriki hicho kikao?
 
Stop that, yeye ndiye aliongoza mazungumzo ya kumleta.. stop that propaganda
Wewe kweli ni kichwa maji.
Dr Slaa ni kweli alikuwepo ktk mazungumzo Ila hakukubaliana na ule upuuzi wa gia ya angani.
Huyu sio mnafki,
Mbowe alitupotezea mwanasiasa bora kuwahi kutokea TZ.
 
Yupo sahihi, shida ni kwamba Tanzania ni mali ya CCM na sio wananchi...
 
Back
Top Bottom