Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hakuna issue kama hiyo. Kuna watu wakisema akina Halima Mdee wakukuzwe nitawasikiliza na kuwaongeza nguvu. Lakini siyo huyu Mzee àliyesaliti harakati za wana mageuzi kwa kupokea vifedha vya kuishi Canada kisha kwenda Ubelgiji kufanya kibarua. Huyu hakuweza hata ku sympathise na Lissu qliposhambuliwa kwa risasi. Huyu ni TAKATAKA akae kimya tuMzee hadi leo kwa umri wako hujui kwamba siasa duniani kote huwa inakwenda na wakati.
Wakati wa jiwe yametokea yaliyotokea na yashapita..Hoja ni ya leo - Je wabunge hao wana credibility ya kuwa ndani ya Bunge la JMT ?