Hakuna issue kama hiyo. Kuna watu wakisema akina Halima Mdee wakukuzwe nitawasikiliza na kuwaongeza nguvu. Lakini siyo huyu Mzee àliyesaliti harakati za wana mageuzi kwa kupokea vifedha vya kuishi Canada kisha kwenda Ubelgiji kufanya kibarua. Huyu hakuweza hata ku sympathise na Lissu qliposhambuliwa kwa risasi. Huyu ni TAKATAKA akae kimya tu