Nimeifuatilia compaign ya mwisho ya CCM pale Jangwani kupitia link moja iliyowekwa kwenye Internet. My take ni kwamba, ni wazi CCM wameweka mkakati mzuri kwa kukusanya Heavy-weight wao wote kuja kumpa support mgombea wao, lakini jinsi ninavyoamini kwa mpiga kura makini mpaka dakika ile anakuwa amekwisha make a commited decision ya nani atakaye mpigia kura. Hii ni natural law kwamba Maji hufuata mkondo na kwa wakati huu ni dhahili kwamba mikondo ishakuwa bayana.
Wale wanaoisupport kambi ya upinzani ya CHADEMA wanasababu maalumu zinazopelekea kuamini kwamba Dr. Slaa na kambi yake ndio suruhisho kwa ukombozi wa Nchi yetu. Binafsi sidhani kama ile campaign itakuwa na effect sana katika kupunguza kura za Dr. Slaa. Saa ya ukombozi ni sasa CHAGUA DR. SLAA na wenigine wenye mlengo CHANYA WA KIMAENDELEO..