Ulaya huko uko right bongo kwenye siasa kushindwa na kuabika kunatembea pamojaKushindwa ndio kuaibika?
Kwani Mbowe anategemea kula kwenye siasa? Akijitoa ndio atapata nini?Ulaya huko uko right bongo kwenye siasa kushindwa na kuabika kunatembea pamoja
Why hukumshauri hivyo mapema? Instead mpaka ukamshauri asiachie chama?Kwani Mbowe anategemea kula kwenye siasa? Akijitoa ndio atapata nini?
Wapigakura wataamuaWhy hukumshauri hivyo mapema? Instead mpaka ukamshauri asiachie chama?
Yes ana mali nyingi sana, but why yeye mwneyewe anaamini bado anafaa ?
Mzee huyu anaangqlia Rais dini ganiKatibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, ametoa rai ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kujitafakari na kuachia nafasi ya uongozi ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya cha viongozi kama Tundu Lissu.
Dkt. Slaa ametoa maoni hayo akizungumzia medani za kisiasa za sasa, akisisitiza kuwa nyakati zimebadilika na zinahitaji mbinu mpya na viongozi wapya wenye uwezo wa kukabiliana na serikali ya CCM kwa ujasiri na ukali wa hoja.
“Kila mtu anatakiwa katika mapambano kwa wakati fulani. Leo si wakati wa Mbowe. Miaka 30 ya uongozi wake imemaliza mchango wake mkubwa, lakini sasa taifa linahitaji watu tofauti kama Lissu na Heche ambao hawamung’unyi maneno,” amesema Dkt. Slaa katika mazungumzo yake ya hivi karibuni.
Akifafanua zaidi, Dkt. Slaa amesema kuwa mbinu za kisiasa zilizofanikiwa chini ya uongozi wa Mbowe hapo awali zimepitwa na wakati. Hii ni kutokana na mabadiliko makubwa katika mfumo wa siasa na ujasiri unaohitajika leo kukabiliana na utawala wa CCM.
Dkt. Slaa amesisitiza kuwa Tanzania ya sasa inahitaji viongozi wenye msimamo mkali na wa moja kwa moja dhidi ya CCM.
“Mbowe ni mtu wa ku-compromise, lakini leo hatuhitaji compromise. Tunahitaji viongozi wa aina ya Lissu na Heche ambao wanaweza kuikemea CCM kwa lugha kali, lakini si ya matusi,” amesema.
Kwa mujibu wa Dkt. Slaa, hotuba za Mbowe za hivi karibuni hazijawahi kuikemea serikali kwa namna ambayo inawapa wananchi ujasiri wa kusimama dhidi ya CCM.
“Mbowe amefanya kazi kubwa kama Musa alivyowatoa waisraeli utumwani. Lakini kama Musa hakuingiza watu wake Kaanani, Mbowe pia anapaswa kukubali kazi hiyo iendelee na kizazi kipya cha viongozi”, amesema Dkt. Slaa.
“Tanzania inahitaji viongozi wapya wenye silaha mpya za kisiasa. Mbowe hana uwezo wa kumwondoa Rais Samia madarakani. Tukimung’unya maneno, tutapoteza taifa zima,” amesema.
Dkt. Slaa alikumbushia mabadiliko ya uongozi ndani ya CHADEMA yaliyofanikisha kupatikana kwa damu mpya katika nyakati tofauti, akiwataja...
Source: Jambo TV
Kushindwa siyo kuabika, LAKINI kwa mtu uliyefanya mambo mengi, ukapata achievements kadhaa, ukija kuondolewa na watu wale wale bao siku zote walikuunga mkono, inakuwa ni aibu. Hata wewe mwenyewe utabakia unajiuliza maswali mengi.Kushindwa ndio kuaibika?
Usimpa dikozoe maneno. Dr. Slaa hajawahi kusema kuwa amestaafu siasa BALI alisema anastaafu siasa za vyama na kubakia kwenye siasa za kitaifa zenye tija kwa nchi". Lakini hata akirudi kwenye siasa za vyama, hafanyi kosa lolote. Kwa kawaida mtu hufanya maamuzi fulani kwa kutegemea mazingira ya wakati huo. Mazingira yakibadilika, mtu ambaye ni dyanamic anatakiwa kubadilika ili kukabiliana na mabadiliko.Padre baaana! "Nimestaafu siasa" 😆😆
Hakuna aibu yeyote hapo ,wenye njaa ndio wataona aibu na sio Mbowe.Kushindwa siyo kuabika, LAKINI kwa mtu uliyefanya mambo mengi, ukapata achievements kadhaa, ukija kuondolewa na watu wale wale bao siku zote walikuunga mkono, inakuwa ni aibu. Hata wewe mwenyewe utabakia unajiuliza maswali mengi.
Kwaajili ya kulinda record yake, Mbowe alitakiwa kuondoka kwa heshima siyo kusubiri aondolewe.
Hasa Yericko sijui ni mwanaccm aliyejificha?Tatizo Mbowe anawasikiliza wapambe ambao hawafikirii kesho ya Chadema,mtu akisema Mbowe ni Alfa na Omega Chadema huyo ni wa kuogopwa kama ukoma yaani Chadema siyo taasisi bali ni duka la Mbowe watu sampuli ya Yericko na Ntobi wanampoteza Mbowe. Hivi kweli Mbowe hadi sasa hajui wanachama wa Chadema wanataka nini,na kama hajui basi hafai kabisa kuongoza chama tena. Wanachama ambao ndiyo wenye kura za kuweza kuipatia Chadema madiwani na wabunge kuwapuuza ni political suicide. Hao wajumbe 1200 hawawezi kuivusha Chadema.
Hata makocha na wachezaji wa soka hustaafu lakini muda ukiwaruhusu hurudi mchezoni kuendeleza mapambano.Usimpa dikozoe maneno. Dr. Slaa hajawahi kusema kuwa amestaafu siasa BALI alisema anastaafu siasa za vyama na kubakia kwenye siasa za kitaifa zenye tija kwa nchi". Lakini hata akirudi kwenye siasa za vyama, hafanyi kosa lolote. Kwa kawaida mtu hufanya maamuzi fulani kwa kutegemea mazingira ya wakati huo. Mazingira yakibadilika, mtu ambaye ni dyanamic anatakiwa kubadilika ili kukabiliana na mabadiliko.