GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nakuomba tu Mzee wangu achana na hao Wanaokudanganya na Kukutumia ili Kumtikisa Rais Samia na Serikali yake kwani ukishayafanikisha Malengo yao Watakutupa hovyo kama zitupwavyo Condoms zilizokwisha tumika.
75% ya Hoja zako ulizozitoa Leo zinajichanganya mno Kimafikirio kiasi kwamba Mimi mwenye Bachelor Degree (Shahada yangu ya Kwanza) tu ya SAUT ya mwaka 2009 nashindwa Kuamini kuwa zimetoka kwa Mtu mwenye Doctorate (Shahada ya Uzamivu) kama Wewe.
Mheshimiwa Balozi najua sasa Umetangulizwa mbele ili ama mwaka huu au mapema mwakani mkizindua rasmi Chama chenu Kipya cha Kisiasa (chenye Makada Nguli Watatu wa CCM, Wawili wa CHADEMA) na Tajiri Mmoja mkubwa muweze Kutetemesha nchi na kuzua amsha amsha ya Kisiasa nchini.
Usisahau tu Kiapo kile ulichokula Ok?