Dkt. Slaa nakukubali kama nawe unavyonikubali hapa JF, ila Hoja zako za leo hazina Ushawishi wa Kuaminika

Dkt. Slaa nakukubali kama nawe unavyonikubali hapa JF, ila Hoja zako za leo hazina Ushawishi wa Kuaminika

Siamini kama nchi ( Tanzania ) inaweza Kuuzwa huku akina DGIS Masorro na TISS yake na CDF General Mkunda na TPDF yake wakakubali au wakawa hawajui.

Watanzania acheni Kudanganywa.

Watz cjui wamelogwa na nani ..afu unakuta mtu anaponda na makasiriko mengi kwa maneno ya kulishwa hata hajafatilia kujua ukweli.mengine yanakuambia dp world ni kampuni ya kitapeli [emoji3]ila ukiangalia unakuta ina operates nchi zaid ya 60 duniani
 
Back
Top Bottom