zous JF-Expert Member Joined Sep 25, 2017 Posts 3,152 Reaction score 5,854 Jun 13, 2023 #21 GENTAMYCINE said: Siamini kama nchi ( Tanzania ) inaweza Kuuzwa huku akina DGIS Masorro na TISS yake na CDF General Mkunda na TPDF yake wakakubali au wakawa hawajui. Watanzania acheni Kudanganywa. Click to expand... Watz cjui wamelogwa na nani ..afu unakuta mtu anaponda na makasiriko mengi kwa maneno ya kulishwa hata hajafatilia kujua ukweli.mengine yanakuambia dp world ni kampuni ya kitapeli [emoji3]ila ukiangalia unakuta ina operates nchi zaid ya 60 duniani
GENTAMYCINE said: Siamini kama nchi ( Tanzania ) inaweza Kuuzwa huku akina DGIS Masorro na TISS yake na CDF General Mkunda na TPDF yake wakakubali au wakawa hawajui. Watanzania acheni Kudanganywa. Click to expand... Watz cjui wamelogwa na nani ..afu unakuta mtu anaponda na makasiriko mengi kwa maneno ya kulishwa hata hajafatilia kujua ukweli.mengine yanakuambia dp world ni kampuni ya kitapeli [emoji3]ila ukiangalia unakuta ina operates nchi zaid ya 60 duniani