Pre GE2025 Dkt. Slaa: Namwambia Samia anipeleke tena gerezani maana nina mengi ya kujifunza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

McLaren

Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
53
Reaction score
78
Wakuu,

Dkt Slaa akiwa anazungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoandaliwa na BAWACHA amesema kuwa Rais Samia kama atataka anaweza kumrudisha tena gerezani maana amejifunza mambo mengi sana akiwa huko.

"Na namwambia Samia anipeleke tena gerezani maana nina mengi ya kujifunza. Tukijifunza tunapata silaha ya kuja kutetea haki"

Your browser is not able to display this video.
 
Takataka hili. lilijiunga na Jiwe kukandamiza demokrasia leo liko chadema kwa vile ni chadema mfu. chadema inayojitambua isingelimpokea.
 
Ameanza tena story zake huyu mzee. Sijui kwa nini anapenda hizi tabia za lugha zenye ukakasi hasa kwa mamlaka kuu ya nchi.
 
Huyu mzee slaa ni kama ameishajikatia tamaa ya kuendelea kuishi.
 
sasa zile harakati za mawakili na wafuasi wake kulia kulia mitandaoni zilikua zanini?
 
Mandevu bhana, sasa mbona aliweka mawakili wapambane kumtoa kama alikuwa bado ana nia ya kujifunza huko gerezani. Takataka kabisa
Haki haupatikani kama zawadi, inapiganiwa, mawakili ni Sehemu ya mapigano ya kupigania haki kwa muktadha wa Sheria
 
Wampeleke tu
 
Shenzi hili.
Lilipokuwa na Ngosha likiramba asali ndo liliona kuna haki kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…