Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mzee naye anatuchosha tu! Kama ana nia na anapenda kurudi gerezani si aende kituo kikuu cha polisi saa saba mchana akanye mlangoni?!Wakuu,
Dkt Slaa akiwa anazungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoandaliwa na BAWACHA amesema kuwa Rais Samia kama atataka anaweza kumrudisha tena gerezani maana amejifunza mambo mengi sana akiwa huko.
"Na namwambia Samia anipeleke tena gerezani maana nina mengi ya kujifunza. Tukijifunza tunapata silaha ya kuja kutetea haki"