fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,473
Kukaa na mke sio mchezo...Ameshindwa kukaa na mke ataweza kuongoza nchi?
Mbona ni juzi tu hapa mlikuwa mnamtukana ameiba mke wa mtu wakati anagombea urais chadema?. Leo anaisema chadema mnamuona wa maana. Tangu Slaa aseme katiba ya Sasa ni nzuri kuliko rasimu ya Warioba nilichoka kabisa.Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania...
Duh umefikia huko.. huu ni ulinganifu dhaifuKukaa na mke sio mchezo...
Ujuulizi kwa nini Yesu mwenyewe hakuoa?
Ndo siasa maji taka tunazosema,nyinyi wafia chama mmeshafilisiwa akili na wenye viti wa vyama vyenuAmeshindwa kukaa na mke ataweza kuongoza nchi?
... father mzinifu kwisha habari yake; enzi zake zimepita.Mbona Ni juzi tu hapa mlikuwa mnamtukana ameiba mke wa mtu wakati anagombea urais chadema?. Leo anaisema chadema mnamuona wa maana. Tangu Slaa aseme katiba ya Sasa ni nzuri kuliko rasimu ya Warioba nilichoka kabisa.
Tofautisha Mwana CCM-A na nyinyi CCM-B.Mbona Ni juzi tu hapa mlikuwa mnamtukana ameiba mke wa mtu wakati anagombea urais chadema?. Leo anaisema chadema mnamuona wa maana. Tangu Slaa aseme katiba ya Sasa ni nzuri kuliko rasimu ya Warioba nilichoka kabisa.
... Yesu hakuja duniani kuoa ndugu; he had a very specific mission ndio maana sio tu kuoa bali hakugombea sio tu uongozi wowote wa kisiasa bali hata uongozi wa hekalu hakuuhitaji.Kukaa na mke sio mchezo...
Ujuulizi kwa nini Yesu mwenyewe hakuoa?
1. John Pombe Magufuli
2. Dkt Slaa
3. Polepole
4. Bashiru Ally
5. Prof Kabudi🚮
Ambao nimewasoma tu
1. Mwal Nyerere
2. Sokoine
Hakuna chochote kwa hao akina Magufuli, Bashiru, Polepole, Kabudi na Dr Slaa. Wote hawa ni malaya wa siasaBinfsi katika viongozi ninao wakubali ambao nimewashyhudia kwa macho katika age yangu hii
1. John Pombe Magufuli
2. Dkt Slaa
3. Polepole
4. Bashiru Ally
5. Prof Kabudi
Ambao nimewasoma tu
1. Mwal Nyerere
2. Sokoine
Viongozi tajwa hapo juu ndo nawakubali! Sipendi wanasiasa wenye rangi 2, leo wa kijani kesho wa blue! Sipendi mwanasiasa ambae leo anaweza kuniambia huu mkojo kesho akaja kuniambia haya maji we kunywa tu huku akijua huu ni mkojo!
Napenda wanasiasa wanaoweza kutoa maamuzi magumu bula kujari maslah yao binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Slaa ni used condom. Ukishatumia ukaachia mzigo unaitupa kwenye ndoo ya takatakaDr.slaa alitufanya vijana tuweke tumaini la mabadiliko ya kweli,ila Watu wenye malengo tofauti ya kisiasa ndiyo Walikuja kusaliti ila BADO tunashukuru anaendelea na msimamo wake uleule...
Nitajie wakwak!Hakuna chochote kwa hao akina Magufuli, Bashiru, Polepole, Kabudi na Dr Slaa. Wote hawa ni malaya wa siasa
Only that,na ndiyo hao katika 100% Basi hawafiki 5%.Binfsi katika viongozi ninao wakubali ambao nimewashyhudia kwa macho katika age yangu hii
1. John Pombe Magufuli
2. Dkt Slaa...