econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Binfsi katika viongozi ninao wakubali ambao nimewashyhudia kwa macho katika age yangu hii
1. John Pombe Magufuli
2. Dkt Slaa
3. Polepole
4. Bashiru Ally
5. Prof Kabudi
Ambao nimewasoma tu
1. Mwal Nyerere
2. Sokoine
Viongozi tajwa hapo juu ndo nawakubali! Sipendi wanasiasa wenye rangi 2, leo wa kijani kesho wa blue! Sipendi mwanasiasa ambae leo anaweza kuniambia huu mkojo kesho akaja kuniambia haya maji we kunywa tu huku akijua huu ni mkojo!
Napenda wanasiasa wanaoweza kutoa maamuzi magumu bula kujari maslah yao binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Dr Slaa hastahili hizo sifa. Maana alikuwa padri akakimbia akaenda kuzini na mwanamke. Alikuwa CCM akakimbilia upinzani Tena akarudi CCM Tena anataka kutoka CCM arudi upinzani. Pia usisahau aliunga mkono rasimu ya Warioba leo anaiponda, huyo ndio unamhitaji bure kabisa. Ndio maana yule hawala yake alimkimbia Mona kwa moja.