Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 461
- 278
Haaaaa; unajitekenya unacheka mwenyewe! Nimekwambia Chadema mlimnanga Lowasa kwa tuhuma kibao! Alipokosa urais CCM kakimbilia CHADEMA! Hakuna sehemu mlimsafisha kwamba tuhuma mlizomsonga nae kuwa alisingiziwa au alifanya na àlitubu kwa waTz hatowafanyia tena!Acha unafiki, chadema walikushangaza na nini? Mbona huyo Lowassa hamumpeleki mahakamani?. Acheni kusema Mambo msiyoyajua. Alipendekezwa Mbowe 2005 na Slaa 2010 wasafi mliwachagua?. Mrema aliyepambana na ufisadi mlimchagua 1995? Mmekaa kuongea unafiki kana kwamba mnamaanisha.
Lowassa yupo CCM mbona mmeijaza bungeni na kwenye halmashauri?. Mbona mtoto wake mmempa ubunge Monduli?. Msijifiche kwenye jina la Lowassa kuonesha chuki zenu kwa CHADEMA.
Unashangaa nini wakati kwa Mara ya kwanza watanzania walienda kupiga Kura uchaguzi wa 2015 Bila kujua mshindi atakuwa Nani. Na kwa Mara ya kwanza Bunge lilipata wabunge wapinzani zaidi ya Mia. Halafu kingine, kwa Mara ya kwanza mgombea urais wa CCM alipata asilimia chache za Kura 57 percent, pamoja na kuiba.
Nyie mlimkaribisha mojakwamoja chumba!
Yaani nyie wanasiasa ni watu wa ovyo kabisa!